Umeona eee....biashara bila business plan ni hasara ni kama ya dreamliner.Nyumbani Kwa Nje Kumenoga. Kwa Ndani Kunawaka Moto!
Lengo lao siyo wangapi wamejiunga na CCM bali pesa kiasi gani tutapata kwenye uchaguzi wa marudio, wabunge wa viti maalumu hawasababishi uchaguzi kurudiwa.Wabunge viti maalumu na madiwani viti maalumu naona hawaoni juhudi za mkuu.... Mpolepole ameshindwa kuigiza movie kwenye hili
tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?Polepole hakujua kuwa kuna positive na negative forces, yaani kama ukishindwa kutumia nguvu zako kumshinda adui tumia nguvu zake kumshinda, watu wa boxing watanielewa vizuri.
If you can't fight them from outside join them and fight within.
Mwezi ujao ndio mwisho wapinzani changamkieni hiyo opportunity ili jeshi la ndani liwe kubwa, tumeanza kuona matunda yake.
Wenyewe wanasema rudi nyumbani kumenoga.
Mabadiliko ndani ya CCM hayawezi kufanywa na kina mtatiro yatafanywa na wakongwe wenyewe.tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?
Siku ya siku ikifika hutaamini!Ilianguka dola ya Rumi itakuwa chichiem?tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?