'If you can't fight them, join them' nilikuwa sijui maana yake, asante sana Polepole

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,263
2,000
Polepole atambue kuwa nguvu haishindi akili hata siku moja, wenye akili wanajua katika nguvu (force) yeyote ile kuna positive na negative forces, kama ukishindwa kutumia nguvu zako kumshinda adui tumia nguvu zake kumshinda, watu wa boxing watanielewa vizuri.

Mwezi ujao ndio mwisho wapinzani changamkieni hiyo opportunity kabla hawajashituka ili jeshi la ndani liwe kubwa, tumeanza kuona matunda yake.

If you can't fight them from outside join them and fight within.

Wenyewe wanasema rudi nyumbani kumenoga.
 
Jurrasic Park

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
3,773
2,000
Jiwe akanunue mbuzi wa mnadani na mbogamboga akapande kwenye bustani aliyeridhishwa na hayati dada Moni asafishe ikulu apange begi lake na boksa zake akwende Chattle. Rais ajaye ni Membe 2020 hakuna hila wala soni Membe ndani ya ikulu ccm hoyeeee
 
dlnobby

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
2,526
2,000
Wabunge viti maalumu na madiwani viti maalumu naona hawaoni juhudi za mkuu.... Mpolepole ameshindwa kuigiza movie kwenye hili
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,263
2,000
Wabunge viti maalumu na madiwani viti maalumu naona hawaoni juhudi za mkuu.... Mpolepole ameshindwa kuigiza movie kwenye hili
Lengo lao siyo wangapi wamejiunga na CCM bali pesa kiasi gani tutapata kwenye uchaguzi wa marudio, wabunge wa viti maalumu hawasababishi uchaguzi kurudiwa.
 
BestOfMyKind

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
1,083
2,000
Polepole hakujua kuwa kuna positive na negative forces, yaani kama ukishindwa kutumia nguvu zako kumshinda adui tumia nguvu zake kumshinda, watu wa boxing watanielewa vizuri.

If you can't fight them from outside join them and fight within.

Mwezi ujao ndio mwisho wapinzani changamkieni hiyo opportunity ili jeshi la ndani liwe kubwa, tumeanza kuona matunda yake.

Wenyewe wanasema rudi nyumbani kumenoga.
tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,263
2,000
tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?
Mabadiliko ndani ya CCM hayawezi kufanywa na kina mtatiro yatafanywa na wakongwe wenyewe.
 
Nantahulila

JF-Expert Member
Sep 20, 2018
836
1,000
tunarudia makosa yale yale, idadi ya watu wa NEC waliokua wanaimba " tuna imani na lowassa 2015 " ( na mhagama akiwemo) ni wengi zaidi ya wanaofikiria kupindua meza 2020. CCM sio kachama kahovyo hovyo kwamba watu wanaweza fanya wanavyotaka. Yani kina mtatiro na waitara ndo wakafanye mapinduzi kweli?
Siku ya siku ikifika hutaamini!Ilianguka dola ya Rumi itakuwa chichiem?
 
Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
678
1,000
Jamani mabadiliko ya katiba ya ccm mnayazingatia?Hakuna nafasi ya kutia nia na kugombea nafasi ya rais 2020 labda kama jiwe ajiweke pembeni mwenyewe.Kwa hiyo mumtishe jiwe mpaka aogope akimbie(biashara mbovu ya kuoza)mwenyewe kitu ambacho mnajua ni kulazimisha maji kupanda mlima.Sioni popote nafasi ya Membe 2020 ama mnajifariji kwa kutafuta sababu nzuri ya kufurahi huku mkijua si sababu ya ukweli au mnachongea Membe kwa jiwe aonekane msaliti kwa kujaribu kutishia urais wake.Tunamjua jiwe uvumilivu ni 0.002% mkiendelea sana "mtapotezwa"(alishaga sema)Msimjaribu ili akiwatenda mlalamike
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom