MARRIAGE ATTITUDE TEST FOR ASPIRING LADIES! Ladies, if u were to choose a HUSBAND exclusively out of the 9 options below, which one would u rather prefer?
1. Ugly but caring
2. Handsome but rude
3. Handsome, caring but unfaithful
4. Rich but ugly and short
5. Handsome, caring, faithful but broke
6. Totally broke but religious, & God fearing
7. Rich but impotent and rude
8. Broke, caring and ugly
9. Very rich, caring, handsome but impotent
mambo ya mujini,ukimkataa mpenzi muongo lakini handsome, unakutana na mkweli lakini bahili, ukimkaataa mkweli na mchoyo unakutana na ambaye si bahili lakini hataki kuoa, ukimkataa huyu asiyetaka kuoa unakutana na anayejua kubembeleza, handsome na mpole. Na si bahili lakini mume wa mtu! Dah! uongo lara 1
unamuomba Mungu muwe matajiri? Utajiri unatafutwa hauombwi bhanaNamba sita..Tutamwomba Mungu na kufanya kazi kwa bidii ili tuwe matajiri
unamuomba Mungu muwe matajiri? Utajiri unatafutwa hauombwi bhana
mambo ya mujini,ukimkataa mpenzi muongo lakini handsome, unakutana na mkweli lakini bahili, ukimkaataa mkweli na mchoyo unakutana na ambaye si bahili lakini hataki kuoa, ukimkataa huyu asiyetaka kuoa unakutana na anayejua kubembeleza, handsome na mpole. Na si bahili lakini mume wa mtu! Dah! uongo lara 1
kasema "watamuomba Mungu na kufanya kazi kwa bidii ili wawe matajiri"
Number 6 is the best for me