Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 2,666
- 3,048
Ukweli wa mambo asili ya Bantustas ni wake wengi, damu moto. Wazungu wanaweza mke mmoja wao ni damu baridi. Wake wengi ndivyo walivyoishi mababu zetu mpaka ujio wa wazungu.
Mimi ni Msukuma, pamoja na Ukristo wetu, si babu zangu wala baba zangu waliodumu na mke mmoja. Sisi watoto ndio tuna jaribu na sijui mbele ya safari.
Kwa Wasukuma the fact is we are very active kwenye somo hili ndio maana tunasifika kwa kupenda tatizo mmoja peke yake anakuwa hatoshi!.
Mababu zetu walikuwa na nguvu za ajabu, wao waliweza mara 3 kwa siku, wiki zote 54 za mwaka!. mke mkubwa ndie alikuwa anatafuta wasaidizi vinginevyo hakuna usalama. Kiasili mwanamke wa Kisukuma original, hatakiwi kuwa na wivu.
Hayo ni mambo ya Traditional Sukuma man, swali ni jee the modern Sukuma man anayo really need of an extra woman ama tunajiendekeza tuu!.
Jee ni afadhali ya Mwislamu anayekubali uke wenza kuliko mamia kwa maelfu ya sisi wakristo wa mke mmoja na vimada kibao ama nyumba ndogo?.
Tusishangae ya uke wenza mimi niko huku India, kuna jamii za wame wenza!.
Prof. Moshi, what if the women don't have a problem with it? What if they think it doesn't denigrate them? So are saying that if me, Nyani Ngabu the stud, the genetic jackhammer, have all these women (say Kelly01 and Kisura) swooning over me and want me to wife them, you would still have a problem with it even though they don't? Come on man, what human rights are you talking about? What are human rights according to your book?
Even you! Believe, polygamy is an old way of living, it is primitive and please mention only one nation outside Africa or those poor middle eastern countries; no country in the world embraces polygamy, we must change!
Ngabu, why shudn't woman marry many husbands? You know is also same "saying gays is not a problem with me as long as they do not touch my ass"!
Wandugu, naomba nijibu mapigo kama ifuatavyo:
Yako matatizo ya aina mbili. Mosi, kama asemavyo Zero, kuwa na mke mmoja hadharani na mwingine kifichoni ni unafiki kwa raia na ukiukwaji wa heshima za yule anayeonewa aibu.
Tatizo la pili ni la "tabia mbaya" kukubalika. Kama ni kweli kwamba katika familia Baba na Mama wana hadhi sawa basi ni kukosa haki kwa Baba mmoja kuwa na wake wengi. Hili ni tatizo la siku nyingi kiasi kwamba sasa wengi wanadhani sio tatizo.
Ni kinyume cha "maumbile" kwa baba mmoja kuwa na wake wawili au zaidi. Porojo za kusema Wabantu wana nguvu na hivyo wanahitaji wake wengi ni male chauvinism ya kawaida tu. Muumbaji "aliwaumba" mtu na mke, na sio mtu na wake.
Mkandara anasema kazaliwa kwenye familia ya wake wengi na kwa hivyo kuwa na wake wengi kuheshimike. Bad logic. Tuliozaliwa kwenye familia masikini inabidi sasa tukumbatie umaskini! Si vema kuheshimu makosa.
Nyani Ngabu anasema walio kwenye ndoa ya wake wengi wanapatana na kwa hivyo wakina mama hao hawanyimwi haki zao za kibinadamu. Wivu lazima utakwepo. Hata hivyo, kuna tatizo la msingi hapa. As Malcom X said "The House Negro loves his master....." Sasa hakunyimwa haki huyo House Negro?
Persistence does not convert an evil into a good. Polygamy might have survived many years in primitive communities. It might even have looked like a normal tradition. That does not absolve it from being evil. Hata ukeketaji sehemu nyingi ni tradition lakini bado ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Ni aibu kwa taifa kuwa na Rais mwenye wake wawili. Kama si aibu kwa nini Rais afiche mke wake wa pili?
Ni kujidhalilisha kwa wanawake wawili kuchangia mume mmoja. Tushirikiane kupiga vita tabia ya kuwadhalilisha wanawake kwa njia hii. Ukombozi wa wanawake ni ukombozi wa binadamu.
huku kudharau kila mila yako na kuabudu cha west, sijui tutafika wapi... Vipo vitu vya kuiga lakini sio kila kitu. Ni wapi pameonyeshwa hao wanawake wa west wako happier kwenye ndoa zao kuliko wanawake wa kiafrika waliokua kwenye ndoa za mitala?...taja study moja tu.
Hao wazungu kina britney spears wanafunga ndoa kwa siku 3 then anadivorce, then anafunga tena anadivorce after 2 years, ndio mnaona the right way to go?...kwa wawest wengi ndoa haina thamani zaidi ya convinience ya muda flani tu, divorce zina skyrocket, suicide rates ziko juu, je umejiuliza why suicides sio tatizo kubwa kwetu pamoja na umaskini wetu. We ndoa gani za kuiga na watu kabla ya ndoa wanasign prenuptial agreements?...Kwa maana wameshajua watamwagana tu. upuuzi mtupu! ZIDUMU AFRICAN CUSTOMS!
Mwisho mtakuja kutuambia tuanze kucelebrate GAY marriages in Tanzania, sababu mtasema hata west zimekubaliwa na ni "human rights".... utumwa wa fikra ni hatari kuliko ufukara!
So long as these are consenting adults having made their decision with informed consent, I have no problem at all. If a man wants to marry hundreds wives let him do so, so long as there are wives wanting to be treated as such.
My only problem is the hiding of the other wife. Surely, we need to and should know both wives of our president so that we know the people who influence our president's decisions behind the scenes. To me, this is an issue deserving a close look in a way of discussion.
Hey, if women want to get down like that (marry multiple men) then more power to them. What's good for the goose is good for the gander.
huku kudharau kila mila yako na kuabudu cha west, sijui tutafika wapi... Vipo vitu vya kuiga lakini sio kila kitu. Ni wapi pameonyeshwa hao wanawake wa west wako happier kwenye ndoa zao kuliko wanawake wa kiafrika waliokua kwenye ndoa za mitala?...taja study moja tu.
Hao wazungu kina britney spears wanafunga ndoa kwa siku 3 then anadivorce, then anafunga tena anadivorce after 2 years, ndio mnaona the right way to go?...kwa wawest wengi ndoa haina thamani zaidi ya convinience ya muda flani tu, divorce zina skyrocket, suicide rates ziko juu, je umejiuliza why suicides sio tatizo kubwa kwetu pamoja na umaskini wetu. We ndoa gani za kuiga na watu kabla ya ndoa wanasign prenuptial agreements?...Kwa maana wameshajua watamwagana tu. upuuzi mtupu! ZIDUMU AFRICAN CUSTOMS!
Mwisho mtakuja kutuambia tuanze kucelebrate GAY marriages in Tanzania, sababu mtasema hata west zimekubaliwa na ni "human rights".... utumwa wa fikra ni hatari kuliko ufukara!
A Tale of Two Wives
A couple of days back we had people here claiming that JK had two wives (at least). That sounded like a joke, but having more than one human being for a wife is no laughing matter!
JK is a leader. At east that is what most of us believe. What does it say about his view regarding the dignity of women if he can pick a couple of them as wives? Nothing lowers the dignity of women more than to combine several of them as your wives.
Leaders know that they are held to a higher standard than the rest. That is why some of them hide the fact that they have more than one partner when they are running for office. It is not possible to genuinely say that women have the same dignity as men and then have several of them as your wives.
Are one man and two wives three equal partners? In what way would the ladies be singly equal in dignity to the man and to each other? The dignity of each one of them is grossly violated when they take turns playing wife!
If JK has two wives then he should stop hiding one of them. He should at least have the decency to treat them with equal dignity, both in private and in public. He should take them both on his frequent international travel, and attend all functions with both. If he is embarrassed to be seen to be polygamous, then he ought not be polygamous! Above all, he should bring them both to his public rallies when he runs for re-election. The people deserve to know what kind of a man they are electing into office.
It may well be that some religions allow men to marry several wives. But it does not follow that nations approve of polygamous individuals ruling them. It offends against equality, and it is deeply embarrassing to have a polygamist as your president!
How can women activists in Tanzania close their eyes to polygamy? Polygamy reduces women into objects of pleasure. Women are not the same as men, but they are meant to be of equal dignity to men. In a situation of polygamy, to fight for the dignity of women must include fighting to end the abhorrent practice!
In this postmodern world, it is unacceptable for a nation to embrace polygamy and or polyandry. We must end it this primitive practice!
Well said mkuu. But you should remember that this thing is indirectly provided withing our constitution. Polygamy is inseparable part of islam and we all know that our constitution allows us to worship freely and practice what our religions want us to do. I do not know why you say this is a primitive act. It is a very social act and it strengthen sisterhood and family ties between man and a couple of families of married women. If you think this is primitive, we should first have a one wife, one husband law in our constitution and see whether that one contradicts with the clause on freedom of worship. Then we can tell what kind of act is it.
So long as these are consenting adults having made their decision with informed consent, I have no problem at all. If a man wants to marry hundreds wives let him do so, so long as there are wives wanting to be treated as such.
My only problem is the hiding of the other wife. Surely, we need to and should know both wives of our president so that we know the people who influence our president's decisions behind the scenes. To me, this is an issue deserving a close look in a way of discussion.
"Nani aliyekuambia polygamy ni Africa way? People like you from your own weakness will term it that way!"
Interesting comment. To me polygamy is a sign of strength!... So what do you say about that?...
It is clear kuwa kwenye traditional african societies nyingi polygamy is OK, soma historia za watemi mbalimbali, au kaa na wazee watakuambia. It is not a must but it is OK. Nothing to be ashamed of. Mwenyewe umeshaji describe as kuwa kwenu ni "those with high calibre". No wonder sishangai brain washing yako... because that statement already says a lot. Im sure hata hiyo definition yako ya "those with high calibre" itakua ndio ileileeee...
Sober,there is freedom of worship in America
there is a freedom of worship in Europe
there is freedom of worship in Japan
there is a freedom of worship in China
ETC ETC ETC ETC
BUT ALL THESE COUNTRIES PROHIBIT POLYGAMY
It seems whatever those countries approve kwako ni kizuri na utafanya tu... kulekule.
Nimewauliza mtaje study iliyoonyesha hao wanawake waliokua kwenye monogomous marriages wako happier, mnapiga chenga tu na mambo ya kumezeshwa blindly na west.