BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,011
What's good for the goose is good for the gander!!
Njemba hazikawii kununa na kuleta kasheshe nyumbani zikiambiwa kweli.
What's good for the goose is good for the gander!!
Katila Mkumbo: If a man wants to marry hundreds wives let him do so, so long as there are wives wanting to be treated as such.
Ukiukwaj wa haki za binadamu ni kosa hata kama wanaoonewa wanakubali. Kwa mfano, wako watoto wadogo wanaoajiriwa na kufanya kazi ngumu kwa hiari yao, lakini bado kuna ukiukwaji wa haki za binadamau.
Mzalendo Halisi: Kwa hiyo unashauri wenye wake zao wawili au watatu kwa sasa wawaache wake zao? Kwa nini? Watoto walelewe na nani? na hao wake wamekosa nini? Je lipi zuri? Homosexuality or polygamy?
Wenye wake zao wasiwaache. Kinachotakiwa ni sisi kupiga vita hiyo tabia ya kuoa wake zaidi ya mmoja. Kuna maji ambayo yameshamwagika. Sasa tuzuie kuendeleza hii kawada mbaya. As to whether homosexuality is better than polygamy, I would say we do not have to choose between two aberrations. It is possible to practice neither homosexuality nor polygamy.
Nyani Ngabu: Ingekuwa wanalazimishwa kuchangia mume mmoja hapo mimi na wewe tungekubaliana. Lakini kama wanachangia huyo mume kwa hiari yao basi sina tatizo.
Nilishajibu hii hoja. Angalia jibu nililompa Katila Mkumbo.
Sober: huku kudharau kila mila yako na kuabudu cha west, sijui tutafika wapi... Vipo vitu vya kuiga lakini sio kila kitu. Ni wapi pameonyeshwa hao wanawake wa west wako happier kwenye ndoa zao kuliko wanawake wa kiafrika waliokua kwenye ndoa za mitala?....... utumwa wa fikra ni hatari kuliko ufukara!
Zamani ilikuweko mila ya kuua mmja kati ya mapacha. Tumeiacha kwani ilikuwa mbaya. Mila ya kuoa wake wengi mbaya vile vile, tuiache.
Huko nyuma, uonevu uliwafanya wanawake wa Kiafrika wakae kimya. Hiyo haikuwa furaha. Wale wa kisasa wanaonekana kuhoji mambo, na ukimdhalilisha mno anaondoka.
Kuna utumwa wa fikara kwamba kuoa wake wengi ni sawa. Si sawa.
SMU : Whether polygamy is bad or good, I think is a more of a personal opinion than of fact. I don't think there is any scientific reason of why polygamy is necessarily a bad thing.
It is a mater of human rights, and that is not personal. It is a societal issue.
Waberoya: Kitila uishofu, rais wetu anatuwakilisha wengi sana, wengi wana nyumba ndogo mkuu na wanaficha! yeye Kikwete naye yumo humohumo".
We do not like to be ruled by a promiscuous person. A President ought to be a man of character.
Bongolander:Polygamy is inseparable part of islam and we all know that our constitution allows us to worship freely and practice what our religions want us to do. I do not know why you say this is a primitive act.
It cannot be true that religion is an inseparable part of Islam. I know many Moslems who are married to one spouse. Polygamy is primitive because it is a bad import from the past. It no longer fits into the modern concept of equal dignity between men and women.
Njemba hazikawii kununa na kuleta kasheshe nyumbani zikiambiwa kweli.
Under normal circumstances (everything is constant), sitofurahia mwenzi wangu kuwa na mke wa pili.
Pale nitakapoona mapenzi yangu kwa mwenzi wangu hayapo tena kwa sababu yeyote ile iwayo i.e menopause; nitamwambia atafute mapenzi somewhere..akipenda aoe, akipenda atafute nyumba ndogo au hata hit-and-run. Sitopenda kumdhulumu mume wangu kwa kutompa penzi 100%. Yakipungua nitamwambia..ee bana eeh, naona mapenzi yangu kwako yamepungua au yamekwisha. Atajua cha kufanya.
Pale nitakapokuwa incapacitated mathalan kwa ugonjwa (Mungu apishie mbali baharini) nitamruhusu mume wangu atafute either mke au hawara au vyovyote atakavyopenda. Kwa wakati huu atahitaji sexual satisfaction, msaada wa malezi ya watoto na vitu vingine ambavyo sitaweza kumsaidia.
Pale nitakapoona msichana ana tabia nzuri na kujiheshimu, anapenda kuwa watoto lkn hajapata wa kuzaa nae, nitamwomba mume wangu amwoe huyo bint kama bint mwenyewe atakubali, ili naye afurahie mapenzi katika maisha na kuwa na watoto.
Kama atahitaji kuwa na watoto zaidi, na mimi sina uwezo wa kumzalia, basi sitaihini nafsi yake wala matamanio yake ya watoto. Nitamwambia aoe na akitaka nitamtafutia.
Kama mume wangu ana sexual drive ambayo siwezi kuihimili, sitasita kumwambia aoe mke mwingine..ya nini kumtesa umpendae? Mwache afanye kinachomridhisha.
Kuamua kubaki kwenye ndoa yenye mke mwingine, hilo ni suala langu binafsi. Moja, kama bado nampenda mume wangu na yeye anatamani mwanamke mwingine, na akanieleza wazi, nitamruhusu aoe. Na nitaendelea kuwa mke provided huyo mwanamke siishi nae nyumba moja.
Ambacho sitakivumilia ni kuoa, kuwa na nyumba ndogo au kuhit-and-run bila kunifahamisha. Siku nikigundua, sijui nitamfanya nini kwani nitamwona mnafiki....na asiyenipenda. May be anakaa na mimi kwa sababu fulani fulani kama kulinda social status na sio kujali feelings zangu.
Mr. Moshi... wake up! Recognize what Tanzania is. We are primitive..lol The majority of people are. Our president is promiscuous just like the majority of us (Tanzanians) are.. Siongelei wabeba maboxi.. Rural Tanzania.
Sidhani kama ajira ya watoto inalingana na hili la kuoa wake zaidi ya mmoja. Watoto ni watoto. Most of them don't know any better. On the other hand, two, three, four, or five consenting adults are presumed to know better. Now, whether they really know any better to make their own informed decisions or not, that is up to them but there has to be a cut off line somewhere and that's why we have these classifications i.e. children, young adults, adults, etc.
I still don't see any human rights that are violated in a polygamous marriage. Maybe, if you could, please help me shed some light on this by specifically stating the rights that are violated when adults consent to it.
Nyani Ngabu asks which human rights are violated by polygamy. It is the right of womenfolk to have equal dignity with men. You can see, can you not, that it is not possible for a man and a woman to be equal partners in marriage if the man has more than one such partner? If one man has the same amount of dignity as several women, then that man is not equal in dignity to any one of the women.
Kinyambisi states that our Presidents promiscuity reflects the promiscuity of Tanzanians. May be it does, but that does not make it any more acceptable. If our President is a true reflection of Tanzanians then how come he does not reflect their poverty?
Polygamy is selfish. Only a selfish man would want to have several women belonging to him alone, as wives. It is also primitive. It results from a primitive mindset that a man has to have many cows, children and wives.
You misunderstand my point... Suppose that polygamy was wrong, and by no means am I saying that it is, how do you suggest we get rid of it under the Tanzanian constitution?
Remember that the constitution was written to fit a society that already existed, notwithstanding the normal dynamics of that society that have until thus emerged. When the constitution was written they considered polygamy and saw fit to allow it in recognition of the diversity that we have in Tanzania. Before we engage in a discussion as to the merits and demerits of polygamy. I challenge you to suggest a plausible way in which it would be able to dispose of the system as it currently exists in Tanzania!
Karibu.....
Now I see.. Ur a feminist.lol... ok!
Naziada kumbuka post yangu ya nyuma niliongelea mila na jadi za asili pamoja na dini kuwa moja ya sababu ya kuwa na utaratibi kama ulivyo, na nikasema itakuwa vigumu kubadilisha utaratibu huu bila kukandamiza haki za makundi fulani fulani katika jamii yetu. Sikua na nia yakuanzisha mjadala juu ya masuala yakidini bali nilimaanisha kukufungua macho kuhusu aina ya jamii tuliyonayo Tanzania na masuala ambayo yanajenga misingi ya jamii hiyo, ikatokea kuwa dini ikawa moja wapo ya masuala hayo. Nasubiri mapendekezo yako kama nilivyoyaomba hapo juu.