If Mbowe Does this what will happen unto him?

If Mbowe Does this what will happen unto him?

Does this thread aim to make the audience live in ideal state or in a real state. For the real state Mbowe has no manadate to decided or approve for the auctioning of the V8. He utilises the vehicle as the virtual of being Head of Opposition Camp in the House. That's all. Otherwise the vehicle remains to be government asset 100% Depreciation, disposal and finally sale of governmet assets are guided by Procurement Act. Mbowe cannot influence that act. At times threads uploaded here should always be in crafted in the contexts of laws in place. If you want people contribute in the same way as building castles in the air then in your introductory remarks let us know that we should contribute to something whose probability of happening is quite slim
 
  • Thanks
Reactions: 911
Hili ndilo tatizo la JF members wa zama hizi. Wanajibu au kuchangia mijadala bila kusoma na kuelewa mantiki. Muanzisha mada kaweka nadharia yake vizuri toka mwanzo

Lakini bado eti Great Thinker anakuja kumhojia English Learner kama anajua V8 ni ya serikali!! Alafu eti anamwambia you are crazy wakati English Learner mwenyewe alikwisha sema "one stupid idea" Sasa hapa nani hajui na nani ni crazy kati ya mwanzisha mada na mchangia mada?

Na kiingereza kinachotembea hapa... mie apata homa..
Ngoja nikameze panadol miye..
 
Ndo kama hivi; hafadhari hapa sasa masopakyindi mtu akikusoma anakuelewa. Tofauti na vile uliyoandika awali ambavyo si Kiingereza wala si Kiswahili. Unaweza kuhisi kutema ulimi wako!

Na kiingereza kinachotembea hapa... mie apata homa..Ngoja nikameze panadol miye..
 
Ndo kama hivi; hafadhari hapa sasa masopakyindi mtu akikusoma anakuelewa. Tofauti na vile uliyoandika awali ambavyo si Kiingereza wala si Kiswahili. Unaweza kuhisi kutema ulimi wako!

Mkuu endelea kuutema tu ulimi wako , maana hata kiswahili chenyewe hukijui!
Sitajisumbua kutapika kwa hiyo construction ya sentensi.
 
Back
Top Bottom