If I fail, I try again, and again, and again

When things go wrong,
don't go with them and The true measure of
success is how many
times you can bounce
back from failure
 
Yaani Mungu ni wa ajabu kweli, halafu Kuna mwingine anataka kujiua kisa hana kazi na ana viungo vyoote
 
Kukata Tamaa Ni Mwiko Mkubwa Sana Katika Maisha, Mim Siku Zote Mambo Yanavyokuwa Magumu Huwa Najitahidi Sana Kujipa Matumaini Ya Kwamba Kila Kitu Kitaenda Vizuri Baada Ya Muda Mfupi Na Wakati Huo Huo Huwa Naomba Mungu Anipe Nguvu Ya Kuyashikilia Vizuri Hayo Matumaini Ili Tu Nisikate Tamaa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…