Huo ni mtazamo wakoContext haijazungumzia mtazamo wangu kuhusu uwepo wa Mungu.
Context ni burden of proof kwa madai yeyote yanayopingana na default position.
Miracles ni extraordinary event ambayo inapinga natural laws ambapo inawezekana kisababishwa na supernatural forces. Miracles "Violation of the laws of nature"What is a miracle and how do you know that what you think is a miracle, is actually a miracle, not just something that you do not understand that is not a miracle?
Define a miracle in the abstract, and give examples.
Mgonjwa gani ametembea baada ya kutotembea kwa muda mrefu?Miracles ni extraordinary event ambayo inapinga natural laws ambapo inawezekana kisababishwa na supernatural forces. Miracles "Violation of the laws of nature"
Mfano wa miracles ni mgonjwa kutembea ambaye alikuwa hatembei kwa muda mrefu ukitaka fact ntaleta hapa
Mgonjwa gani ametembea baada ya kutotembea kwa muda mrefu?
Mgonjwa huyo anapotembea, amevunja natural law ipi?
It's impossible kutokana na sayansi mgonjwa mwenye paralysis kutembea but it's possible though miraclesMgonjwa gani ametembea baada ya kutotembea kwa muda mrefu?
Mgonjwa huyo anapotembea, amevunja natural law ipi?
How do you know for sure these people were not able to walk before?
Sipo katika mdahalo wa kujadili mitazamo binafsi. Kama nimeeleweka hivyo basi ni wazi kuwa umenielewa vibaya.Huo ni mtazamo wako
Maana hapa ni mimi na wewe
Kama huo ni mtazamo wa mtu mwengine mlete hapa
Kwanza kabisa sayansi haiwezi ju claim chochote juwa impossibke kama wewe ukivyoandika hapo.It's impossible kutokana na sayansi mgonjwa mwenye paralysis kutembea but it's possible though miracles
Brother juzi huyu jamaa alikuwa na mkutano KIA(Kilimanjaro hii) zaidi ya maelfu ya watu walitembea katika hali ya kawaida sio rahisi kwa mtu kuandaliwa ili aje kuact sasa this is a proof miracles happen.How do you know for sure these people were not able to walk before?
Kazi ya sayansi ni ku innovate, kutafuta fact(research) na kuja na conclusionKwanza kabisa sayansi haiwezi ju claim chochote juwa impossibke kama wewe ukivyoandika hapo.
Mpaka hapo unaonesha huelewi sayansi ni nini.
Piki, sayansi ni mchakato endelevu ambao una vitu vingi sana ambavyo haujavimaliza, katika natural world tu, sasa hapo utajuaje huyu katembea kwa sababu ya kitu ambacho ni natural ila hakijajulikana, au kwa kitu ambacho ni supernatural na muujuza?
Hilo ndilo swali langu, ambako hujalijibu, kwa sababu hujalielewa.
Hujajibu swali, unajuaje hao watu hawakuweza kutembea hapo awali?Brother juzi huyu jamaa alikuwa na mkutano KIA(Kilimanjaro hii) zaidi ya maelfu ya watu walitembea katika hali ya kawaida sio rahisi kwa mtu kuandaliwa ili aje kuact sasa this is a proof miracles happen.
It's something seriousKuwa serious basi
Yawezekana walitembea lakin kutokana na factors kama paralysis hawakuweza kutembea kwa muda mrefu but through miracles watu wametembea.Hujajibu swali, unajuaje hao watu hawakuweza kutembea hapo awali?
Unajuaje huu ni muujiza, umevunja kanuni za asili, na si kitu ambacho hujakijua tu au kuna kanuni nyingine ya asili haijajulikana vizuri tu imetumika na wewe hujui?Kazi ya sayansi ni ku innovate, kutafuta fact(research) na kuja na conclusion
Sasa suala la miracles unalipinga je wakati Kuna watu hata hapa JF wamepokea miracles kwenye maombi. Muda mwingine huwezi kuamini kwasababu ya utawala wa shetani maishani mwako pia ufinyu wa akili isiyoweza kufuatilia na kuthibitisha mambo
Nilijua tu
Unajuaje wametembea kwa miracle na si kitu kingine chochote tofauti?Yawezekana walitembea lakin kutokana na factors kama paralysis hawakuweza kutembea kwa muda mrefu but through miracles watu wametembea.
Ni muujiza kwasababu isingekuwa ni muujiza wataalamu wa afya na wengine wangeweza kusolve muda mrefu sana haya matatizo lakn kwann kwa Imani yanakuwa solved means that through miracles Kuna matatizo Supernatural power inasolveUnajuaje huu ni muujiza, umevunja kanuni za asili, na si kitu ambacho hujakijua tu au kuna kanuni nyingine ya asili haijajulikana vizuri tu imetumika na wewe hujui?
Kwann wasingekuja apo awali wanatembea mbona wameweza kutembea baada ya Supernatural power kuworkUnajuaje wametembea kwa miracle na si kitu kingine chochote tofauti?