Mshindi wa big brother Idris Sultan amesajiliwa rasmi kuwa mtangazaji wa kituo cha Choice Fm.
Hiyo ni ajira mpya kwa kijana huwa atakuwa anatangaza kipindi cha hard drive kinachoruka saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi.
Kila la kheri kijana japo hatujui ulisomea wapi utangazaji
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Ha ha ha mbona ujanja ujanja, Idriss alisema ana kampuni yake kaajiri watu 20 hadi mwisho wa mwaka anategemea kuajiri watu 50 kama sikosei
Kampuni vepe hailipi? Utangazaji unalipa zaidi....
Kaishia form 4,Kasoma hotel Management pale magomeni sema tu ana shono flani si unajua huyu dogo ni mmanga?Mama ake alikuwa house girl ubalozi flani nchi za kiarabu hapa Dar,akazalishwa huyu dogo,ila waliofuata ni weusi wenzetu wanakaa Matejoo huku Arusha!