[emoji23][emoji23]Kamshika paka sharubu , makucha yanamhusu
Aisee!Mwache aendelee kukaa rumande mpaka akili itakapomkaa sawa. Mtu kipaji hana ana kazi ya kujifanya Mockingbird tu. Yeye kila tukio analigeuza mzaha ili afurahishe vi slay queen vinavyo mfollow huko insta.
Alifanya nini. Huyu dogosishabikii yanayomtokea Idrissa, ila anatakiwa ajifunze pahala pa kufanyia masihara!
Ni juha huyo jamaa.Aisee!
Aliicheka picha ya mwenye nchi ya mwaka 95!Alifanya nn. Huyu dogo
kikubwa ajifunze pa kufanyia mzaha, sio kwa JPMNi juha huyo jamaa.
Pengine utakuwa umekengeuka kama nwanadamu usitafute kuwaadhibu wale wanaokukosea Mungu pekee mkamilifu hata ww huwa unamlaumu na kumkosea bado kakusimamia unavuta pumz yake vipi kama angekuwa anatoa adhabu kwa kila afanyalo mwanadamu?Ni juha huyo jamaa.
Mwache aendelee kukaa rumande mpaka akili itakapomkaa sawa. Mtu kipaji hana ana kazi ya kujifanya Mockingbird tu. Yeye kila tukio analigeuza mzaha ili afurahishe vi slay queen vinavyo mfollow huko insta.
Wachekeshaji kina Ticha Mparire na kina Otoyo wa Churchill ingekuwa ni hapa kwetu wangepigwa risasi kabisa !!. Hapa kutabasamu na picha ni kukosa nidhamu ?! Du Tanganyika umepoteza njia [emoji40][emoji87]sishabikii yanayomtokea Idrissa, ila anatakiwa ajifunze pahala pa kufanyia masihara!
Kama watu wangesoma alama za nyakati mambo yangekuwa sawa kabisa hata wanasiasa pia wanashindwa kusoma alama za nyakati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mchekeshaji na mwanamitindo maarufu nchini Idris Sultan ameendelea kusota rumande kwa siku saba kutokana na makosa ya kimtandao. Idris aliitwa kuhojiwa na jeshi la Polisi toka may 19, 2020 ambapo anashikiliwa hadi leo.
Sheria zinasemaje kwa mtuhimiwa?
Ana haki zake nae pamoja na kutuhumiwa.
#KatibaNiYetu
View attachment 1459884
Ukisoma post za watu hapa utagundua nchi yetu ina shida bado watu hawajitambui haya sawa kafanya kosa sheria zinasemaje ambazo watu wameapa kuzilinda?Idadi ya watu wanaosapoti mtu kua rumande kisa picha kuchekwa is very alarming it's like kuna kikao ambacho sikuhudhuria na tulikubaliana kua hakuna kuchekana.
Sasa nashindwa kuelewa. Ni ile wivu wetu wa wabongo kua jamaa ana hao slay queen kukuzidi au ni hicho kikao ndiyo kinamhukumu huyu jamaa.
Maisha ni mzunguko ndugu, usifurahie matatizo ya mwenzako. Hujui kesho nini kitakutokea na nani atakusaidia, weka akiba ya maneno.Hizo ni chache anatakiwa akae mwaka kule