Napenda Idriss awe na Samantha wanaendana sana hata mjengoni alikua ana mshauri vizuri hafu Samantha muelewa hapo Goitse alie tu alimkataa na kumdharau
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:Hivi Zarina na Nassib wamelingana umri? Nataka nijue tu.
Ova
Wajua hadi niliisi Goitse ni lesbian coz alichokuwa akifanya na Sipe kitandani alikuwa akikifurahia zaidi kuliko alichokuwa akifanya na Idris. Hakuwa akishtuka hata alipofanyiwa vitu romantic. Nasikia alilia sana Feza alipotoka kwenye jumba.
Ova
Idris na Samatha hamna kitu.Samatha mwenyewe ameshakuwa bibi Idris bado jank ngoja arudi bongo magazeti si yapo?
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:
Goitse ni lesbian tangia Botswana walikua wanasagana hata kuna siku walikua wanafanya na Sipe biggie akawaita baada ya kuingia fake house mate akawa anajipitisha kwa lukley alikua ana muona Idriss Hana kitu
Sasa mimi nafanya kazi RITA ''uzazi na vifo'' mpk niwe na birth certificate zao?:boxing:
Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.
Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova
Duh! Sikuwa najua aiseeh! Nilikuwa namhisi sana coz sikuwa namuelewa kabisa.
Ova
Do you my dude, but watch them hood rats.
Jamaa kama Ernest Mkapa.Bado kidogo niseme baharia katua Macau nini? Kanikumbusha mbali mchizi wangu.
Hata akirudi na huyo Samantha bongo wadada wa bongo hawakati tamaa,wana usemi wao kizuri tule wote!
Hahahaaa,hapana siyawezi hayo mambo kabisa.
Nisubiri hapo hapo nakuja:becky::becky:Wakati unapost hapa nadhani bado ulikuwa unafanya kazi RITA.
Na ulivyokuja kupost hapa ndio ukawa umeshaacha kazi RITA.
You made my day mkuu.
Ova