Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
BBC claims he was "in a car accident."
Ritter: "His house is on fire. His car may have crashed into his house."
Your browser is not able to display this video.

Tunachokijua
Ido Netanyahu ni kaka wa Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Nentanyahu, Ido ni Daktari na mwandishi wa vitabu pia. Itmar Ben-Gvir ni waziri wa ulinzi wa Israel.
Madai
Machi 10, 2026 kumekuwa na taarifa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii kueleza kuwa kaka yake Waziri mkuu wa Israel, Ido Netanyahu amefariki pamoja na Waziri wa ulinzi wa nchi hiyo Itamar Ben-Gvir kwenye shambulizi lililofanyika kwa njia ya anga.
Uhalisia wa madai hayo
Ufuatiliaji umebaini kuwa hakuna uthibitisho unaoonesha kuwa watu hao wameuawa katika shambulizi huko Tel Aviv.
Taarifa hizo zimeambatana na video inayoonesha mlipuko unaodaiwa kuwa ndiyo uliotokea wakati watu mashambulizi hayo yanafanyika lakini video hiyo haihusiani na tukio hilo.
Video hiyo ni kutoka katika tukio la kuungua kwa nyumba baada ya moto kuzuka katika eneo la Galloway Township Februari 9, 2026, ambapo polisi walfika ili kuzima moto huo.
Israel na ndugu yake USA wametafuta matatizo ambayo wangetatua mezani naona sijui dhima ya vita ni nini wakati madhara yake yalijukana na hao Iran hata afe kiongozi wao wanachagua mwingine mpaka wote waishe sio kama Venezuela nadhani Trump mambo ya huko walimpa taarifa sio sahihi hawezi kuwachagulia kiongozi Waajemi..
Probably hawa 'firdaus' yao iko wing tofauti manake wanaweza kuendeleza vita wakikutana huko firdaus kukawa hakukaliki wakatamani kurudi dunia kwani ahueni ya duniani japo wanapambana lakini kila jeshi liko based kwenye nchi yake.
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
Be a little bit intelligent to do the cross-check of any information you get, absorbing every rubbish you come across will ruin your reasoning capabilities.
We are at the level of technology where it's so easy to cross-check the authenticity of any news be it in the social media platforms or mainstream media.
Be a little bit intelligent to do the cross-check of any information you get, absorbing every rubbish you came across will ruin your reasoning capabilities.
We are at the level of technology where it's so easy to cross-check the authenticity of any news be it in the social media platforms or mainstream media.
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
Hii habari bado haijawa confirmed, ila mwenyewe nimeisikia kutoka US Marine aliyepigana kwenye vita ya Iraq Scott Ritter,amabaye alikuwa kwenye kitengo cha kukusanya taarifa, kwenye Podcast yake naye amesema hiki hiki. Kama ni kweli anaweza wakatangaza ila wasiseme chanzo ni kipi au wakadanganya chanzo chake.
Kwenye hii vita lazima maafa yatokee kila upande haiwezekani Iran watupe makombora mengi hivyo yasiue mtu/watu. Nasisi wa mbali tunapata misuko suko yetu na inatugharimu pia kwa upande wetu hasa kwenye kupoanda mafuta, na kuchelewa kwa mizigo.
Misaada kutoka Nchi wa fadhili nayo itapungua ktk bajeti zetu watembezaji wa bakuli.
Kuna habari nzito mno huko mashariki ya kati.....Kaka yake Benjamen Netanyahu anayeitwa Iddo Nafanyahu wameangamizwa tayari
Iddo Netanyahu alipigwa na Kombora la Iran wakati nyumba ya Benjamen Netanyahu ilivyoangamizwa na kuteketezwa na Kombora la Iran
Huyu Itaman Ben Gvir taarifa zinasambaa ameuliwa tayari,na wanajiandaa kutangaza kuwa kafa kwa ajali ya gari.....Taarifa nyingine zinadai kajeruhiwa vibaya mnoo na yupo ICU...
Benjamen Netanyahu ni miongoni mwa walojeruhiwa japo yeye amepata majeraha kidogo tu
Mtoto wa Waziri wa Fedha wa Israel
Bezalel Smotrich ambaye taarifa za mwanzo za uhakika kabisa alijeruhiwa kaskazini mwa Israel baada ya kupigwa na vipande vya Kombora la Hezbollah yeye amejeruhiwa vibaya sana taarifa zinadai kipande cha kombora kimemjeruhi sehemu ya Ini lake na mgongo...Sasa hivi taarifa nyingi kwenye Blog za wazayuni zinadai huyu kijana wake keshakufa.Israeli minister Smotrich(Genocidal maniac) son got seriously wounded in an attack by Hezbollah. He had his intestines and liver blown off.
Iran bombs Netanyahu's house, killing his brother – Scott Ritter discusses the impact of the Sanchez effect
"Ben-Gvir's house was bombed. He is seriously injured."
Iran anauwezo wa kurusha makombora kama mtu anayerusha mawe usiku, popote linapotua fresh tu...kuwauwa labda watumie ma spy ila hawatakuwa wajinga kiasi hicho wanajua mipaka yao...kumbuka unaongelea nchi yenye nyuklia 90-400, ikitaka habari ya Iran iishe ndani ya dakika ni uamuzi tu...ndio maana inabidi wapigane na hawa magaidi wasipate nyuklia...nyuklia inabidi wamiliki watu ambao hawali mirungi
Iran anauwezo wa kurusha makombora kama mtu anayerusha mawe usiku, popote linapotua fresh tu...kuwauwa labda watumie ma spy ila hawatakuwa wajinga kiasi hicho wanajua mipaka yao...kumbuka unaongelea nchi yenye nyuklia 90-400, ikitaka habari ya Iran iishe ndani ya dakika ni uamuzi tu...ndio maana inabidi wapigane na hawa magaidi wasipate nyuklia...nyuklia inabidi wamiliki watu ambao hawali mirungi
Israel na ndugu yake USA wametafuta matatizo ambayo wangetatua mezani naona sijui dhima ya vita ni nini wakati madhara yake yalijukana na hao Iran hata afe kiongozi wao wanachagua mwingine mpaka wote waishe sio kama Venezuela nadhani Trump mambo ya huko walimpa taarifa sio sahihi hawezi kuwachagulia kiongozi Waajemi..
Tutofautishe umbea, hisia na habari. Hii haiwezi kuwa ni habari. Yaweza kuwa ni umbeya au hisia, maana hakuna uthibitisho. Ni sawa na ule umbeya kuwa Israel imekwisha sambaratika na kuwa eti mitambo yake yote imeangamiza na askari zaidi ya elfu wameuawa.! Halafu nchi hiyo hiyo, mpaka jana inaendelra kushambulia, na inatungua baadhi ya makombora ya Iran! Kama mitambo yote imeangamizwa, hayo makombora wanadungua kwa mikono? Na kama askari na mitambo imeangamizwa, hizo ndege zinaxoshambulia Iran, zinapelekwa na upepo? Vitu vingine umahitaji akili ndogo sana kutambua kuwa ni uwongo. Kuziamini kama zilivyo, lazima uwe huna akili kabisa! Madhara laxima yapo, lakini uwonho na exageration ni kubwa. . Israel yenyewe imetoa taarifa kuwa kuna majeruhi karibia 900, na vifo 11, na kati ya hao majeruji, wengine wamejeruhiwa vibaya.. Iran imesema kuna majeruhi zaidi ya 20,000, na vifo zaidi 1,300, na imesema 1,200 ni raia wa kawaida.
Lakini unashangaa mtu ambaye yupo Dar anatoa data ambazo hazijaelezwa na chombo chochote! Yaani yeye awe na habari kuliko vyombo vya habari ambavyo vipo huko huko kwenye matukio! Update ya Aljazeera, 41 minutes ago, ni hii hapa:
ALJAZEERA
Bahrain says a 29-year-old woman has been killed in an Iranian attack on a residential building, as Kuwait, Saudi Arabia and the UAE reported intercepting more missiles and drones
Tehran experienced “some of the most intense bombardment” of the war overnight, our correspondent Mohamed Vall says, with at least 40 people killed near the city’s Risalat Square.
Trump issues a new warning, threatening to strike Iran “twenty times harder” if it stops oil tankers in the Strait of Hormuz.
UAE air defences intercepting missile and drone threats
The UAE’s ministries of defence and interior have warned people to “remain in a safe place” and heed “warnings and updates” on official websites, as air defences work to neutralise threats from Iranian drones and missiles.
Nations, including China and Russia, contact Iran over a ceasefire
Iranian Deputy Foreign Minister Kazem Gharibabadi says Tehran’s first condition for a ceasefire is that “no further aggression be launched”, as world leaders increase efforts to end the conflict diplomatically.