IDM Pre-Activated setup hiyooo

Mkuu "dll" ya I.D.M ndo nini? na una idelete vipi? na unaionaje? mana i.d.m ktk nshai uninstall ktk control panel.
 

Haikubali, halafu hii tool kwangu haikuonyesha ku-activate bali kuna crack na deactivate.
 
Haikubali, halafu hii tool kwangu haikuonyesha ku-activate bali kuna crack na deactivate.

> Kama unatumia IDM toleo la nyuma CLICK deactivate
>Kisha unistall hiyo IDM
>Download latest version
> Baada ya installation click CRACK
Bila shaka utafanikiwa kwa sasa hiyo ndio best TOOL ya ku_CRACK idm, na kama hutofanikiwa nijulishe nikupe procedure za Manual Activation .KARIBU
 
Mwl.RCT nimePM umeiona?
 
Last edited by a moderator:
Ntaijaribu nione kama inapakua Youtube itakua mzuka sana


nilikuwa natumia Ver6, ikazingua baada ya kuji-update (IDM registered with a fake serial number....) hata baada ya ku-uninstall na kuirudisha hiyo ver6 bado iligoma, lakini hii prank imekubali kiulaini kweli... TRY IT
 

Nime ku-pm mkuu, nimejaribu njia ulizoniambia bado imegoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…