life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Mbuyu ulianza Kama Mchicha!! Japo meanzo mgumu... Hakuna kisicho ezekana.. 1,2,3 go....Kuumbe. Sina nijualo Binamu.
Yabidi tuje tupange tujue namna ya kukianzisha. 😀😀
Mbuyu ulianza Kama Mchicha!! Japo meanzo mgumu... Hakuna kisicho ezekana.. 1,2,3 go....Kuumbe. Sina nijualo Binamu.
Yabidi tuje tupange tujue namna ya kukianzisha. 😀😀
Hakika Binamu.Mbuyu ulianza Kama Mchicha!! Japo meanzo mgumu... Hakuna kisicho ezekana.. 1,2,3 go....
Good luck..nakutakia binamuHakika Binamu.
Mwendelezo wa mradi wa mashupa !! Nimekuja na fikra...!Hakika Binamu.
Daah hii Safi sanaSana mkuu kuna wengine wamebuni mpaka mitumbwi
Hii ndio nimeipenda View attachment 1076662View attachment 1076663
Tena inatufaa sana hata mitoniDaah hii Safi sana
hawa jamaa ndio wametisha zaidi.