Idea za BELLE 9

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,319
4,089
Katika playlist yangu ya weekend iliyopita nyimbo za msanii Belle 9 zilitawala. Ukiachilia mbali sauti yake, melodies zake pamoja na back vocal anazozipiga kuna kitu kilinijia katika akili yangu na kuanza kufikiria juu ya idea za Belle katika nyimbo zake. Nikaja kuona huyu jamaa ni mbunifu sana wa idea na hakuna msanii wa bongo anayemfikia katika hili.

Nilijaribu kuangalia idea mbalimbali za baadhi ya nyimbo zake. Wazo la vitamini music ni wazo ambalo ni la kipekee ambalo si rahisi mtu kulifikiria kama laweza kuimbiwa wimbo wa rnb.

Pia nikaangalia idea kama amerudi, masogange,anaishi naye na Burger movie selfie. .Kiukwel jamaa anaweza sana kwa ubunifu wa idea tofauti na wasanii wengine hata wale wa Hip hop lakini wanaimba idea za kulalamikia mapenzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa n kama
Aligombana na ma dj na ma
Present wa kibongo

[Color= yellow]Triple A[/color]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom