Kuna mawazo mengine ukimwaga humu jamvini unakua tayari umemwaga mtama penye kuku wengi ,hivyo kama huo mtonyo unao mcheki kwanza before kuhisi utapeliKitendo cha wewe kutoitaja ni biashara gani humu na kukomaa watu waende pm nimeshaanza kuhisi harufu za UTAPELI msisene hamjaambiwa.
Kitendo cha wewe kutoitaja ni biashara gani humu na kukomaa watu waende pm nimeshaanza kuhisi harufu za UTAPELI msisene hamjaambiwa.
Ishi kwakukariri alafu siku hizi ukiona mtu katapeliwa hela nyingi kuanzia milioni 5 inabidi akili zake zichunguzweKitendo cha wewe kutoitaja ni biashara gani humu na kukomaa watu waende pm nimeshaanza kuhisi harufu za UTAPELI msisene hamjaambiwa.
Umeona, alafu unaanzaje katapeliwa mtu unaakili zako timamu? Hii idea nikiiweka hapa nitakuwa nimekaribisha maswali mengi ambayo sitakuwa namuda wakuyajibu mwisho wasiku wataniona mbambaishajiIla Watanzania tuna shida sana, mpo wepesi sana kuhukumu!
Iweke tu..kama ipo ipo tu mkuu..mm hiwa sihofii kbs kuhusu hilo!Umeona, alafu unaanzaje katapeliwa mtu unaakili zako timamu? Hii idea nikiiweka hapa nitakuwa nimekaribisha maswali mengi ambayo sitakuwa namuda wakuyajibu mwisho wasiku wataniona mbambaishaji
Sent using Jamii Forums mobile app
WAKUU,Habari ndugu zanguni,
Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja ya kimaisha/uwezo wa kipesa, uwezo wa kiuwekezaji.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Nina wazo la biashara ila wazo hilo linahitaji pesa kuanzia Milion 15 mpaka milioni 25. Nasema kuanzia hicho kiasi sio kama mtu awezi kufanya akiwa na mtaji chini ya hapo ila kwa kuifanya kwa kujiamini zaidi na kwa ufanisi kabisa inataka uwekezaji wa kiasi cha pesa nilichokitaja hapo juu.
Nisiwe muongo, uwekezaji huu sio kama unafaida kubwa sana eti nianze kudanganya ili nimvutie mtu hapana! Faida yake ni juhudi za kuingia sokoni kufanya kazi na ndio faida yake ipo hapo, wewe utatoa pesa mimi nitaingia sokoni, usalama wapesa upo wakutosha sana, nahii biashara sio kama unanunua bidhaaa nakuuza, NO!
Hii biashara ukihitaji kuvunja mkataba labda tumefanya miezi miwili na umeona mrejesho sio mzurii basi tunavunja mkataba na kurudishia pesa yako siku hiyo hiyo.
Uhakika wa faida niwakawaida ila ukiwekeza milioni 15 ndani yamiezi 12 basi uhakika wakutengeneza faida ya milioni 10 uhakika nandiomana sijasema nifaida kubwa ila niyakawaida ila vilevile niyauhakika.
Kama kuna mtu anaweza kuwa tayari basi kwa ajili ya kufanya kazi na mimi yeye atoe pesa mimi niwe nguvu kazi basi aje PM.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha wewe kutoitaja ni biashara gani humu na kukomaa watu waende pm nimeshaanza kuhisi harufu za UTAPELI msisene hamjaambiwa.
Habari ndugu zanguni,
Najua humu kuna watu wamadaraja tofauti tofauti. Vilevile natambua uwepo wa madaraja yote hayo na mimi pia ni miongoni mwao katika moja ya madaraja. Hapa naongelea madaraja ya kimaisha/uwezo wa kipesa, uwezo wa kiuwekezaji.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Nina wazo la biashara ila wazo hilo linahitaji pesa kuanzia Milion 15 mpaka milioni 25. Nasema kuanzia hicho kiasi sio kama mtu awezi kufanya akiwa na mtaji chini ya hapo ila kwa kuifanya kwa kujiamini zaidi na kwa ufanisi kabisa inataka uwekezaji wa kiasi cha pesa nilichokitaja hapo juu.
Nisiwe muongo, uwekezaji huu sio kama unafaida kubwa sana eti nianze kudanganya ili nimvutie mtu hapana! Faida yake ni juhudi za kuingia sokoni kufanya kazi na ndio faida yake ipo hapo, wewe utatoa pesa mimi nitaingia sokoni, usalama wapesa upo wakutosha sana, nahii biashara sio kama unanunua bidhaaa nakuuza, NO!
Hii biashara ukihitaji kuvunja mkataba labda tumefanya miezi miwili na umeona mrejesho sio mzurii basi tunavunja mkataba na kurudishia pesa yako siku hiyo hiyo.
Uhakika wa faida niwakawaida ila ukiwekeza milioni 15 ndani yamiezi 12 basi uhakika wakutengeneza faida ya milioni 10 uhakika nandiomana sijasema nifaida kubwa ila niyakawaida ila vilevile niyauhakika.
Kama kuna mtu anaweza kuwa tayari basi kwa ajili ya kufanya kazi na mimi yeye atoe pesa mimi niwe nguvu kazi basi aje PM.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndogo?Mtaji wa 15,000,000 kwa mwaka ambao una miezi 12 unapata faida ya jumla 10,000,000 na uki igawanya hii 10,000,000 kwa miezi 12 unapata kama 833,000 ambayo ndio sawa na gawio ama faida ya kila mwezi.
Kwa jibu jepesi ni ikiwa utapata mtu awekezi 15,000,000 kwenye wazo lako, basi ataweza kupata faida ya 833,000 ambayo ni sawa na 6% ya 15,000,000
Sent using Jamii Forums mobile app