Hapa umenigusa sana Kiongozi,ni kweli kabisa ,
idea ni kitu UNACHOKIAMINI,!
Unachokiamini siku zote utakipenda!
Ukikipenda utakifanya/ kutekeleza bila kuchoka , hutakata tamaa kwakuwa unaamini unachokifanya!
Mara nyingi watu huishia njiani kwakufanya vitu wasivyo vipenda au kuviamini!
Hii husababishwa na copying and pasting bila kuwa na passion/ shauku na hilo wazo/idea.
Pia husababishwa na shinikizo kutoka kwa watu wengine ambao wanaamini ktk wazo ambalo wewe huna passion / shauku nalo na ukalifanya, tegemea failure!
Lazima tuamini mawazo yetu hata kama wengine hawaamini! Ushauri ni mzuri kupata lakini maamuzi ni yako mwenyewe!
Kunamsemo usemao "if you're not doing what you love, you're wasting your time"
Yaani "kama hufanyi kile unachokipenda, unapoteza muda wako".