AI, ML accounts?Hey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts!
So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo Ai/Machine learning ingeweza kutambua acc ya mtu kulingana na tabia za hio account!
Najua kuna watu wanajua kunzidi so naomba labda mnisaidie kwamba hiyo solution inakuaje??????
Sina uhakika! But just an ideaAI, ML accounts?
So u mean kuna watu wana more than one account in JF
Mkuu watu sio kwamba wanapenda kudabo account bali ni app yenyewe ya jamiiforum ilivo yaan hairuhusu mtu kubadili jina yaan hakuna option ya kuchange name ndo mana watu wakitaka kutumia jna tofauti na lililozoeleka humu bas wanafngua account mpya ko unakuta mtu ana account zaid ya mbiliHey mambo nimekuja hapa kudiscusss swala moja la idea from nowhere kwamba kumekuwa na wimbi kwamba watu wana double accounts!
So mimi nlichokua nafikiria kwamba kungekuwa na "MACHINE LEARNING" ambayo ingekua ina zitaja accounts ambazo zimejirudia japokuwa accounts huku ni SIRI bado hiyo Ai/Machine learning ingeweza kutambua acc ya mtu kulingana na tabia za hio account!
Najua kuna watu wanajua kunzidi so naomba labda mnisaidie kwamba hiyo solution inakuaje??????
Utawanyima haki wanao share SimuKazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja
Utawanyima haki wanao share Simu
Tafuta,Kuna Interview Moja ya Mero anaelezea hayo
Sio Kama hawawezi
Kubadili jina ni rahisi tu, unamtumia message admin yoyote anakubadilishia. Mimi nimebadilisha mara tatuMkuu watu sio kwamba wanapenda kudabo account bali ni app yenyewe ya jamiiforum ilivo yaan hairuhusu mtu kubadili jina yaan hakuna option ya kuchange name ndo mana watu wakitaka kutumia jna tofauti na lililozoeleka humu bas wanafngua account mpya ko unakuta mtu ana account zaid ya mbili
Vipi kwa wenye devices zaidi ya 3?Kazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja
Vipi kwa wenye devices zaidi ya 3?
Kwa njia hii unaweza ukakuta unafuta account za watu wengi sana ambazo hazijajirudia, chukua mfano wale wanaotumia wakiwa internet cafe ua pc za makazini ambazo watu wengi wanatumia kufungua JF wakati tofauti tofautiKazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja
Tatizo la maadmin wengi wa humu wamelala, labda wawe wamebadilika, kuna wakati nataka kuwa verified nilisumbuka sana na sikuweza kupata msaada wowote kutoka kwa admins, ila namshukuru Melo alikuja kunibadilishia baada ya kumtumia malalamikoKubadili jina ni rahisi tu, unamtumia message admin yoyote anakubadilishia. Mimi nimebadilisha mara tatu
ISP especial hawa makampuni ya simu IP zao ni dynamic,huoni unaweza kuunganisha account zisizohusika?Kazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja
ISP especial hawa makampuni ya simu IP zao ni dynamic,huoni unaweza kuunganisha account zisizohusika?
Kwa njia hii unaweza ukakuta unafuta account za watu wengi sana ambazo hazijajirudia, chukua mfano wale wanaotumia wakiwa internet cafe ua pc za makazini ambazo watu wengi wanatumia kufungua JF wakati tofauti tofauti
Kazi rahisi tuu. Ni kucheck Accounts zipi zina login kwa IP address moja