Iddi Simba kuhamia CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Atahamia chadema lini na anakesi ya kujibu? na majaliwa ya mahakama zetu zinasubiri mwongozo! yamkini akitoka chadema itakuwa na wanachama wa kutosha na kwa kulingana na vitabu vya dini kuishi sana miaka 70
 
Hapo kwa Aden Rage ndugu yangu mbona kama ushabiki wa mpira sasa! Embu tuambie tatizo la Rage maana mi sijui! Kala hela za kumuuza Samatha?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Aende akathibitishe kwamba wezi wote wakifurushwa, kichaka chao cha kukimbilia ni CDM
 
hapo kwa aden rage ndugu yangu mbona kama ushabiki wa mpira sasa! Embu tuambie tatizo la rage maana mi sijui! Kala hela za kumuuza samatha?

Sent from my blackberry 9780 using jamiiforums

rage ni fisadi sema alisafishwa na mahakama KWA RUSHWA ili agombee ubunge pia ni mtu hatari kwa maendeleo ya nchi hii
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…