wabunge wanalilia sitting allowance..... means makalio allowance.
meya amesema wanatumia makalio kufikiri..
walipochachamaa na jairo ye alisema wabunge ni ze komedi.
mwingine akasema wabunge wapimwe akili....
msiwe kama soko la kariakoo... mama makinda....
loooh lazima tujob hundred mwaka huu. bado hatujaona mengi....