Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
mmmm matusi mengine bwana..... jamani napita tu naelekea sokoni kununua chakula cha futari
Mbunge wa Kinondoni, akomba mwongozo kuhusu kauli aliyotoa meya wa Dar kuhusu UDA kwamba kuna wabunge wanafikiri kwa makalio na sio akili.
Amesema kauli hiyo inadhalilisha bunge zima na imetolewa na kiongozi mkubwa. Amehoji ni hatua gani ichukuliwe
Spika anaongoza watu wanaofikiri kwa makalio......bado napita tu
JF raha tupu, nimevunjika mbavuHapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!
Hapo kazi ipo!!>>>>>>>>>>>>Kama ni kwa wabunge wa Dar hakika akili zao ziko huko huko,Tena huyo Zungu ndo usiseme kabisaaaaaaaaa ...........................Kalio lake la kufikiri yamkini ni la kushoto!!!!!