Idara ya Uhamiaji taarifa zinaletwa lakini mnazipuuzia

Nairobian

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
873
2,277
Wasamaria wengi sana wanatoa taarifa nyingi sana zenye maslahi ya kitaifa kwa hili jeshi letu lakini wanazipuuzia.

Wahamiaji kutoka Kenya na Nigeria wanafanya mambo ya ajabu sana. Tunawapa hawa ndugu zetu taarifa lakini hatua hazichukuliwi. Baadhi ya wakenya, kwa jehuri wanajigamba kwamba in this country, they can do anything and nobody can dare touch them

Kwa mfano hapa Kijitonyama wapo wakenya ambao tunashuku ni majasusi maana kukutana kwao ni usiku, tuneripoti sana wachunguzwe lakini hakuna anayejali.

Wanaijeria pale Sinza mchana kweupe wanauza madawa, wanaripotiwa lakini hakuna hatua. Haya bwana , Ingekuwa Chadema wanegkamatwa. Nasema wanaymza madawa sababu mchana wanalala, usiku wanazunguka na ma Range Rover.
 
slowness in handling serious issues can be linked to failure to execute duties assigned. we hope action will be taken immediately to cater for the security needs of our noble nation
 
Hii habari inatosha kuwatuhumu watu? Unapotoa tuhuma fanya uandike ushahidi wa kutosha. Taja jina, sehemu anayokaa au kukutana, matukio anayofanya na anapofanyia, uelewa wako dhidi ya uraia wake, n.k. kitendo cha kuongea tu kwa juu juu hakisababishi mtu kutiwa hatiani.
 
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema ushahidi wametoa ila wamepuuzwa
 
Wanaijeria pale Sinza mchana kweupe wanauza madawa, wanaripotiwa lakini hakuna hatua. Haya bwana , Ingekuwa Chadema wanegkamatwa. Nasema wanaymza madawa sababu mchana wanalala, usiku wanazunguka na ma Range Rover.
marekani wamesema dsm ni hub ya kuuza madawa ya kulevya east africa mkasema mabeberu wanalichafua taifa, sasa sijui nani analichafua taifa kati ya USA na serikali yetu.
 
Immigration siyo kitengo cha kukamata wahalifu, nenda Polisi katoe ripoti, wao watashirikiana na immigration kujua uhalali wa vibali vya hao wageni.

Wanaijeria wanauza madawa UNA UHAKIKA nenda katoe taarifa Anti-drug, narcotics agency, jina nimesahau vizuri, wao watajua cha kufanya...unakuwa kama umeumizwa na MIRENJIROVA..

Everyday is Saturday.........:cool:
 
Hii habari inatosha kuwatuhumu watu? Unapotoa tuhuma fanya uandike ushahidi wa kutosha. Taja jina, sehemu anayokaa au kukutana, matukio anayofanya na anapofanyia, uelewa wako dhidi ya uraia wake, n.k. kitendo cha kuongea tu kwa juu juu hakisababishi mtu kutiwa hatiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wa Kijitonyama just because wanakutana usiku jamaa kaamua kuwaita majasusi, na wanigeria wa sinza kwa vile tu mchana wamelala na usiku wanaendesha ma range rover automatically amewa classify kama wausa madawa. Ndio maana immigration officers wanampuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mkuu wao Kihistoria hasa ile ya Kijiografia nae ni Mtanzania halisi kwa 100%?
 
mchana wanalala, usiku wanazunguka na ma Range Rover.
Usije kuwa ni wivu tuu wa Range...!.
Kama una data zozote wewe mwaga humu as long as una ushahidi.
Humu Mzee Baba mwenyewe huwa anapita.

Wakati wa mazungumzo ya Serikali na Barrick, mimi nilikuwa napandisha threads za madudu yao usiku mkubwa, bila mimi kujua, kumbe threads zikipanda tuu humu, kuna mtu anaamshwa usiku wa manane kuulizwa kama ni kweli!, aliteseka hadi kutamani kuachia ngazi!.

Hivyo kama una data, wewe zishushe tuu humu, lakini kama issue ni hiyo Range Sport, then na wewe just Get rich or die trying!

Kwa wapenzi wa range,
Range Sports, ya 2008 imeshuka bei hadi just US $ 3,000!. Unbelievable!, but its true!

LAND ROVER » SUV » Range Rover Sport » 2008 » 2008 Range Rover Sport 0 BG845063

2008 LAND ROVER
Range Rover Sport 4WD SPORT HSE BG845063

BG845063_0e138f.jpg

1 / 10
BG845063_791a60.jpg

BG845063_954bbe.jpg

BG845063_f56e78.jpg

BG845063_95c8c5.jpg

BG845063_6192f4.jpg

BG845063_435c3b.jpg

BG845063_d474f5.jpg

BG845063_c2fca4.jpg

Original Price $5,308
Price $3,879
(TSh 8,941,497)
You Save $1,429 (26%)
Total Price $7,217
(Approx. Exchange Price: TSh 16,635,932)
CIF Dar es Salaam

P
 
Usije kuwa ni wivu tuu wa Range...!.
Kama una data zozote wewe mwaga humu as long as una ushahidi.
Humu Mzee Baba mwenyewe huwa anapita.

Wakati wa mazungumzo ya Serikali na Barrick, mimi nilikuwa napandisha threads za madudu yao usiku mkubwa, bila mimi kujua, kumbe threads zikipanda tuu humu, kuna mtu anaamshwa usiku wa manane kuulizwa kama ni kweli!, aliteseka hadi kutamani kuachia ngazi!.

Hivyo kama una data, wewe zishushe tuu humu, lakini kama issue ni Range, then na wewe
Get rich or die trying!.

Kwa wapenzi wa range,
Range Sports, ya 2005 imeshuka bei hadi just US $ 3,000!. Unbelievable!, but its true!

P
Mkuu wanapewa hawa jamaa, lakini hawafanyi kitu unaambiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom