Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,607
- 93,385
Wadau hebu nisaidieni kuna kitu kinanitatiza kidogo,
Kuna dogo anahitaji passport akanifata ili nimsaidie, kwakuwa ni kijana wangu niliyemshiba basi nimekubali kuwa mdhamini wake pia nimempa pesa ya kulipia passport na nipeprint out copy ya passport yangu ili aattach pamoja na fomu zake ili kukazia udhamini wangu kwake.
Sasa kilichonifanya niandike hii thread ni kwamba wamemrudisha eti apeleke Invitation letter! Sikuami ilibidi nimuulize mara mbilimbili kwamba ni kweli immigration officer hajalog application form kwa sababu ya Invitation letter?
Wana JF naomba mnisaidie hivi dunia hii ninayoishi mimi ndio wanayoishi hawa immigration au tuko sayari tofauti?
Inawezekana hawa watu hawana uelewa wowote hata wa Viza card ni nini na vacation ni nini, bado wanaishi ulimwengu wa kubeba mikaratasi wakati kila kitu sasa ni online.
Ok wanataka mikaratasi iliyoandikwa Invitation letter hivi hapa mimi na Kiranga au Nyani Ngabu si tunaweza kutumiana hizo invitation letter kama wao wanaona ni vikwazo?
Tena huyu kijana ameniuzi sana kuja kunishtakia huu ujinga maana angetumia tu akili yake na kufunguwa email mpya kwa jina Bill Gates nadhani hiyo passport ingetoka leo leo kwa amri ya Nchimbi.
Je Watanzania ni kweli tupo kwenye millenia au ndio tunasindikiza? Hivi mpaka leo bado na muhuri wa SIRI kwenye makaratasi ya Afisa mtendaji wa kata? Nimesikitika sana kuwa na immigration vilaza kama wa Tanzania.

Last edited by a moderator: