johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kuna wenye wamepungua wameishaaaaa dah!!
UdakuKuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Kuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Msalimie Lucas Mwashambwa 🐼Udaku
Mwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakunaKuna Tetesi wagombea wote wa Ubunge na Udiwani kutoka vyama vyote vya Siasa watafanyiwa vetting ya kimya kimya na “ vyombo “
Ikumbukwe kwenye mgogoro wa kuwazuia akina Martha Karua pale JNIA wabunge wa Kenya Walisema hawawezi kujibishana na Wabunge wa Tanzania kwa sababu wiwango vyao ni vya KK na siyo kitaaluma
Labda ndio sababu
Niishie hapo 🐼
Avatar yako ifungiwe.Mambo yamebadilika ghafla bin vuu🤣🤣🤣🤣🤣
Amin kwamba wamejaa sana pale Kijani..kwa Tanzania tunao mpaka PhD ambao wanajenga hoja ktk viwango vya KK.
Ni aibu kubwa sana ile nafasi kushikwa na yule mamaSamia alikosea sana kumnanga mpinga live stageni
The state!Mwaka huu ndio mtaelewa hii nchi ina TISS au hakuna
Bado hakuna rangi mtaacha kuona
The state.!
wewe umemtja tayariKwenye huu uzi ole wake mtu amtolee mfano babu tale