Idadi ya watu vs Fursa za ajira

Wakorea wanaogopa kuzaa sababu ya gharama za maisha waafrica wanazaa wapate unafuu wa maisha, i just don't get it men!
 
Wakorea wanaogopa kuzaa sababu ya gharama za maisha waafrica wanazaa wapate unafuu wa maisha, i just don't get it men!
Evolution of population structure inaonesha muafrika hajaadvance midset. Kurationalize imekuwa ngum kidogo, umaskini na kuzaa sana havitengani. Higher poor higher fertility
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…