Leo wakati nafuatilia Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi 2023/2024 Waziri Abdallah Ulega amesema idadi ya Nguruwe "kitimoto" imeongezeka kwa mwaka 2022/2023 kutoka Nguruwe Milioni Tatu na Laki Nne(3.4M) hadi Nguruwe MilioniTatu na Laki Saba(3.7M).
Hii ni habari nzuri kwa walaji wa kitoweo hicho maarufu kama "Kitimoto" "Mdudu" ambacho kimekua kikipendwa na watu mbali mbali hapa nchini bila kuchagua rika,kabila wala dini.
Oya hiyo kitu sio poa kabisa πππ
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Oya hiyo kitu sio poa kabisa πππ
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Ngoja nibaki Huku nguruwe zina mapepo.. Yale yaliyoomba hifadhi baada ya Kristo kuyatimua mwilini mwa mtu.. Akayaamuru yakaingie kwenye kundi la nguruwe
Oya hiyo kitu sio poa kabisa πππ
Kuna jamaa ni Mwislamu alileta kitimoto nusu geto ikabidi nitoke nikaongeze jumla ikawa kilo 2.
Tulikula hadi kujilamba afu nakumbuka hy siku ilikuwa Ijumaa.
Ngoja nibaki Hulu nguruwe zina mapepo.. Yale yaliyoomba hifadhi baada ya Kristo kuyatimua mwilini mwa mtu.. Akayaamuru yakaingie kwenye kundi la nguruweView attachment 2607514