Idadi ya Maprofesa Nchini Tanzania

Prof.Yunus Mgaya
Prof Maboko Makenya
Prof Mathew Luhanga
Prof Mark Mwandosya
Prof Mwalyosi
 
Hawana Msaada Wowote Hao
Wengine Walifanyiwa Interview Na Wajumbe Wa Ccm
Wakawa Wakali Wanataka Kurusha Ngumi!!

Wengine Wameokotwa Jalalani Sijui Dampo La Pugu Kajiungeni!!😁😂😀😅😄😄😃😃
 
Karibia wote wahaya
 
Wahaya
 
Hii list mbona ndefu Sana na wahaya watupu
 
Hawa jamaa wangekuwa siriazi kama walivyosiriazi kwenye elimu basi Kule kagera kungekuwa kama Dubai.....bt WaPo bize sana na elimu mpaka wanakusahau nyumban
 
Professor Utopolo Chakubanga
 
Elimu yao imefanya nn kwenye nchi hii??
Akiambiwa ajiajiri analia
 
Aliyeona mchagga anioneshe hapo
 
Elimu yao imefanya nn kwenye nchi hii??
Akiambiwa ajiajiri analia
Kwanza walisoma ili wafanye nini? Kama lengo lake alisoma ili afundishe vijana basi lengo wanatimiza. Na kama hakuna hela za research au projects mtu aliyesomea magari unataka afanye nini au asuke gereji kwa mikono
 
Professor Lusuga Kironde - ARU Naye ni Muhaya tu
 
Naona majina ya kihaya tu.
 
%kubwa wahaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…