Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,517
- 1,428
Embu toeni mada zenye akili. Sasa umeanzisha mada gani? watu wengine bana. Kwanza hayatuhusu. Ni maisha yao.
hao ni wale wanaorandaranda barabarani, kwenye ma-bar na kumbi za starehe. hamjawainclude wale proffessional wanaokaa maofisini. idadi itakua mara 3 ya hiyo
Embu toeni mada zenye akili. Sasa umeanzisha mada gani? watu wengine bana. Kwanza hayatuhusu. Ni maisha yao.
Kuna haja ya kuoa au kuolewa? Wenye ndoa poleni sana.
Ni vizuri wakafanya tahmini vizuri. Takweimu hazijakaa sawa kwani Wateja hawajulikani idadi yao.
kama kungelikuwa hakuna wateja bila shaka wangeacha hii biashara. Laini wa kuwa idadi ya wateja wanaongezeka na ndio nao madada poa wanaongezeka.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kwa siku dada poa mmoja anaweza lala mpaka na watu watano..zidisha mara 7500 then mara 5 kwa wiki then mara 12...utapata avarage ..na hii ni kwa dar tu bado arusha mwanza mbeya na kwengineko
wanatimiza unabii mkuuNirudieni mm nasamehe, geukeni sasa niwaponye, asema bwana wa Majeshi....
hii biashara, wanaoifanya wanaoinunua na wanaisapoti kwa namna yeyote ile inapaswa wajue kuwa hii ni machukizo mbele za muumba. ni sala zangu siku moja mambo kama haya yasiwepo duniani. Amen.
tena sasa hivi tunawatizama zaidi walio barabarani lakini wa majumbani ni wengi zaidi na ukweli ni kwamba wanawake wengi hufanya hivi kusaidia watotowao kwani wanaume wengi wanajua kutungisha mimba tu then wanaingia mitini.........men love foor sex, women sex for love and the end is a misery to womenikifika mwakani siku kama ya leo idadi itakua mara mbili ya hiyo hapo juu. maisha magumu, hakuna ajira..
mwanamke siku zote ni jamvi la lawama tangu enzi za Adamu aliposema ...ni huyu mwanamke uliyenipa............hii jumla inaunganisha na mashonga au ni wanawake tu?