Jf wana upendo wa Agape, ID feki za mizinga ndio nyingi kuliko zozote.Why can't you just be real!? Woga wa nini sassπππΏβ
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..
ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu fekiππΏππΏββ
ID za uzinzi nknk
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?π
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...πView attachment 3667736
Kubabake πYule kijana de nguna ana ID kama 40 , lakini 39 zote hua anafanya uomba omba
Ilishawahi kunikuta hii, na kuna id hazitoki nje ya uzi fulani kazi yake kubwa ndio hiyoπunakuta unazinguana na ID Moja gafla zinakujia ID 5 kukushambulia unajiuliza hawa watu vipi kumbe ni mtu mmoja banaπ
Hivi ulipopigwa ban ulikuwa unakwenda kama nani humu bebi.Attention seekers..
The wanna beβs
Aisee za dini nazo zilinacha mdomo waziπ«’
Nyie matapeli wapoππ½ββοΈ ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Too much politics can be stressful and frustrating, especially when things do not go the way you hope. Likewise, excessive engagement on JF can create the illusion that you are widely known or influential. The reality is that only a small number of people know about JF or even have it on their devices.Why can't you just be real!? Woga wa nini sassπππΏβ
ID mlima kama zinaleta pesa!?
You just can't hide your inner self
Your reaction..
Your handwriting..
Your cycles..
Your puppetism..
ID ya kusifu watu
ID ya kutukana na kukashifu
ID ya mizinga
ID ya utakatifu fekiππΏππΏββ
ID za uzinzi nknk
Shida sio kuwa na ID nyingi kwakuwa sheria inaruhusu.. Shida ni je unazitumiaje?π
Basi tu tunasitiriana na kupotezea maana tunatambua changamoto za maisha na afya ya akili vinavyotesa wengi
ID ni kinyago unaweza kukibadili lakini sio uhalisia wako
ID ZENYU TUNAZIJUA...πView attachment 3667736
Kuna dokta alikua na ID sjui 150 kama sjakoseaAttention seekers..
The wanna beβs
Aisee za dini nazo zilinacha mdomo waziπ«’
Nyie matapeli wapoππ½ββοΈ ππ½ββοΈππ½ββοΈππ½ββοΈ
Siwezi huo ujinga na unajuaβΊοΈHivi ulipopigwa ban ulikuwa unakwenda kama nani humu bebi.
id zote 10 unakuta ziko active at the same timeIlishawahi kunikuta hii, na kuna id hazitoki nje ya uzi fulani kazi yake kubwa ndio hiyoπ