0787128158 jina daby KIBORI NANGAAYA. [emoji16][emoji16]Halafu we jamaa jinsia ke za jf unachati nazo sana. Weka namba tigo pesa/ m pesa/ airtel money, watu wakuwezeshe kabisa
unamuonea gele, hahahahahahaHalafu we jamaa jinsia ke za jf unachati nazo sana. Weka namba tigo pesa/ m pesa/ airtel money, watu wakuwezeshe kabisa
mmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh hahaahha0787128158 jina daby KIBORI NANGAAYA. [emoji16][emoji16]
Unauza yako bei ganimmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh hahaahha
kwa kweli haiuziki hahahahahaUnauza yako bei gani
good morning CastrHua hatuanzi kutuma hela, utatumiwa 500 ukituma password unaongezewa 500 yako.
Hizo sabotages buda...Hua hatuanzi kutuma hela, utatumiwa 500 ukituma password unaongezewa 500 yako.
Kumbe kuna watu ni mapopobawa humu?Umewahi kuwaza kwamba vipi kama matumizi ya id yako humu ndiyo yataamua bei utakayoiuza id husika? Yaani ukiangalia id yako na kuona namna unavyopanga hoja, namna unavyojamiiana na wanajf, unadhani utaiuza shilingi ngapi?
Tufanye kwamba bei ya juu kabisa ya kuuza id ni shilingi elfu kumi (10,000) lakini ukiona kuna muda ulienda kinyume jikate shilingi kumi (10) halafu tuoneshe id yako ingeuzwa kwa shilingi ngapi.
- Angalia hoja na majibu unayotoa kwa members kama yana msaada au unakua umejibu swala husika.
- Umewahi kuleta uzi lakini ukaambatanisha picha isiyohusiana na uzi? Jikate shilingi 10 kabisa.
- Watu wakiquote hua wanajibu vipi posts zako? Majibu yao yaamue kama ujikate shilingi 10 au la.
Mimi yangu ningeuza 990.
Halafu hivi kuna I'd inapenda kucheka humu kama yakoookwa kweli haiuziki hahahahaha
Hii yako bukuNipeni bei wenyenye...