Hello wanajukwaa. Naombeni ushauri wenu kulingana na uzoefu wenu wataalamu.
Nina mdogo wangu kamaliza kidato Cha nne mwaka jana, amepangiwa Kozi ya ICT chuo Cha Taifa Cha usafirshaji.
Mimi nilitamani sana asomee mambo ya maji hasa kozi ya Water supply engineering au pump mechanic engineering. Kama siyo hivyo basi askme Agriculture production.
Naombeni ushauri wenu kuhusu hizo kozi, maslahi ya kila kozi. Ni kweli lazima tusome lakini tusisome tu ilimradi. Karibu I kwà ushauri wenu.
Asanteni