iCloud: Ni vipi naweza kuondoa kwa simu?

Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

Mkuu tuko tz unatwambia maswala ya ksh mbona hatukuelewi???? Au huduma yako ni kwa wakenya tu??? Next time weka bei yako kwa Tsh hayo Ksh huku hatuyatambui kabisa, sawa???
 
natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Niko mwanza tanzania.

chief mkwawa
 
Last edited by a moderator:

Mimi natumia office ambayo iko Nairobi ku-unlock iPhone hapa Mwanza ni tawi tu ndio maana natumia Ksh. na sio Tsh.
 
natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko mwanza tanzania.

chief mkwawa
 
Last edited by a moderator:
Hlo tawi kwann usitolee hop hapo

Tunatumia server na system tumeifungulia Nairobi ndio maana kila kitu kinenda ki'Nairobi ...

Hapa Bongo napokea simu na kutuma IMEI number zake kwenye system basi.
 
Hiyo ya wizi,mpaka ujue password au upate mtu mwenye kulipia itunes akufungulie.Tupa hilo ni kopo tu
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

Acha Utapeli. JITAMBUE....
 
Hizi thread za iCloud zinakera kama maji machafu yanavyokera mitaani. Mnaboa.... iCloud lock inatoka kwa njia mahususi na si kwa kimagumashi. Kama umeiiba itupe
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

qwikwii
Ungekuwa maarufu kuliko dimondi
Pole
 
Natoa icloud permanent kwa pesa za kenya ksh.25,000(iphone 4,5,5s na 5c) na ksh.30,000 kwa iphone 6 na 6 plus ambazo ziko clean(yaani haziko kwenye lost mode) kwa siku7,14,21,na 28 za kazi malipo baada ya kazi?ila simu lazima iwe oficn kwangu kwa muda wote inaposhughulikiwa.

Kwa mawasiliano nicheck whatsapp number +8613320286695.

Niko Mwanza Tanzania.

Usiwaibie watu mkuu.
 
Soln ya I cloud imepatikana.... Andaa 500000 then ni Pm nikuelekeze pa kuileta
 
500,000/= ? like serious,sasa si ni bora kuongeza pesa kidogo nikamate ng'ora nyingine tu!
 
habar yako..iyo mambo n rahisi sana ila tricky kidogo..niliuziwa iphone 4 ilikuwa ina icloud na nilihangaika sana na nikafanikiwa kuitoa..iko hiv..
ingia settings>icloud..ukishafika kama find my phone iko on..uwe unatap delete account na cancel usichoke fanya hivyo mara nyingi..itakudirect..ukiona hujanielewa ingia youtube check video kuna jamaa ameelezea namna ya kuremove icloud id ndo nilijaribu kutumia njia yake..kama unataka kuiuza kwa tatizo ilo nicheck kwa 0688209686 tuongee bussiness..
 
Ungekuwa unaiweza hiyo kitu nadhani hata Mengi angeweza kuwa dereva wako.
 
Back
Top Bottom