Nimenunua iphone 7 ya kutumika kwa online market,nilipo inaitisha id ya mwenye alikua akitumia zamani.tatizo simjui wala sina hata njia ya kumfikia,Kama yupo mwenye maunjanja naomba msaada hata Kama nikutoa hela.

Pole sana mkuu, hizo simu security yake ni za very high profile. Kama utabahatika kumpata mtu wa kuiondoa hiyo icloud account basi gharama yake itakua kubwa sana