ICC yagoma kumwachia Duterte

ICC yagoma kumwachia Duterte

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,153
Reaction score
96,211
MANILA, Ufilipino

MAHAKAA ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC) itaendelea kumshikilia Rais wa zamani wa Ufilino, Rodrigo Duterte, baada ya ombi lake kugonga mwamba.

Duterte amekuwa kizuizini akikabiliwa na mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu wakati wa operesheni zake za kukabiliana na dawa za kulevya nchini kwake.

Akiwa rais, utawala wake unatajwa kuua watu wengi katika operesheni za kusaka wafanyabiashara wa dawa kulevya kuanzia mwaka 2016 hadi 2022.

Alikamatwa Machi, 2025, na kisha kupelekwa Uholanzi, ambako ndiyo yaliko Makao Makuu ya ICC.

Hivi karibuni, mwanasiasa huyo aliiomba ICC imwachie kwa muda ili ashughulikie kile alichokitaja kuwa ni changamoto za afya.

Hata hivyo, kwa mujibu wa wanasheria wake, afya ya Duterte imezorota kwa kipindi alichowekwa kizuizini.
 
Akome...
 
Alikabiriana na dawa za kulevya kweli au alitaka kuondoa upinzani sokoni ili auze peke yake na genge lake?
 
Watamuachia tu, ndio maana mimi siwapendi ICC hawana msaada kwa watu walioumizwa na watawala hawa.

Dawa ya hawa watawala ni kuwauwa wao na kizazi chao.

Tizama Assad, yeye na familia yake wanakula na kusaza nchini russia.

Hawa watu dawa yao ni kifo tu.
 
Back
Top Bottom