ICC Waufyata mbele ya Benjamin Netanyahu!!

ICC Waufyata mbele ya Benjamin Netanyahu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,941
Reaction score
6,033
Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel.

Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka mamlaka ya ICC juu ya Israeli na kuipa taifa la Kiyahudi ushindi wake wa kwanza wa kisheria huko The Hague katika kipindi cha muongo mmoja.

Sasa imedhihirika wazi kuwa Mahakama hiyo imetekwa nyara na waarabu na nchi zinazoongozwa kwa chuki dhidi ya Taifa la Israel.
IMG_2623.jpeg
 
Hii habari haieleweki
Helewi nini hapo? Mahakama ya ICC imebadirisha uamzi wake wa kutoa hati ya kukamatwa kwa Netanyahu badala yake imesema shauri hilo lirudishwe kwenye mahakama ya chini ili yatolewe maamuzi ya nini kifanyike.
Kwa lugha rahisi sasa hivi hakuna cha arrest warrant kwa Netanyahu bila shaka sasa umenielewa!!
 
Katika mabadiliko makubwa, Mahakama ya Rufaa ya ICC imeegemea upande wa Israel, na kurudisha kesi dhidi ya Netanyahu na Gallant kwenye mahakama ya chini ili kuzingatia kikamilifu pingamizi za mamlaka za Israel.

Uamuzi huo unasimamisha mchakato wa hati ya kukamatwa kwa sasa, na kutilia shaka mamlaka ya ICC juu ya Israeli na kuipa taifa la Kiyahudi ushindi wake wa kwanza wa kisheria huko The Hague katika kipindi cha muongo mmoja.

Sasa imedhihirika wazi kuwa Mahakama hiyo imetekwa nyara na waarabu na nchi zinazoongozwa kwa chuki dhidi ya Taifa la Israel.View attachment 3314929
wafia dini watanuna
 
Wanaofagilia utamaduni wa kiarabu wako wapi..!!😛😛😛
 
Back
Top Bottom