KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,289
- 5,749
Dunia isiwe busy na mambo ya irani, badala yake ije kuwa busy na vinyago vya tecdema vilivyokula misumari vikiwa vinaenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu.Unafikiri kwa nini wanashindwa kutoa report yao? Mashaka makubwa ni hii kitu kwa sababu ICC inataka kujua kwanza efforts za ndani zimefanya nini na kama hatua zinaendana na tukio lenyewe! Wanapambana kuipika kwa kuwa ndio itaactivate hatua zaidi kimataifa either positive au negative, so wanasoma na kuirudiarudia kila wakicheck wanaona mamaduro anasongeshwa so wanarudia kuipika tena na tena ili wamuokoe. Huo muda unaoongezwa mara kwa mara ni kwa ajili ya kuedit ila ndo moja haikai na mbili haikai
Kifupi dunia nzima imekaa macho kusubiri huu mzigo!
Dunia isiwe busy na mambo ya irani, badala yake ije kuwa busy na vinyago vya tecdema vilivyokula misumari vikiwa vinaenda kutafuta katiba kwenye maduka ya simu.
Muulize KalamuNaona kimya as if nothing had happened in TANGANYIKA
Siku zote muda ni mwalimu mzuri.Naona kimya as if nothing had happened in TANGANYIKA
Sawa, ngoja tuone kama ICC nayo wamekuwa manyumbu kiasi hicho.ICC sio mahakama ya kesi hizo, anatakiwa aliyeua na aliyeamrisha baaasi, hata chawa mkijitoa ufahamu mtaelewa tu taratibu
Sawa, ngoja tuone kama ICC nayo wamekuwa manyumbu kiasi hicho.
Posho unakula wewe ndg'angu kutoka kwa kina kitima. Mi sijui hata posho inafananaje. Nipo zangu Liwale Huku naendelea kupalilia mbaazi zangu labda mambo yakawa mambo mwezi wa 8. Kama hayo ndo mawazo Yako, kwamba Kila anayemtetea Samia anakula posho, basi pole sana......hiyo familia Yako (kama unayo) itakuwa imepigwa na kitu kizito sana. Umetaja akili; kama kuongea hivyo unavyoongea wewe ndo tafairi ya kuwa na akili, basi hili taifa apewe tu museven🤣🤣🤣🤣Muda utaongea we piga posho tu kwa sasa ujenge afya yako mengine waachie wenye akili
Nyumbu wametulia vibarazani hawaendi hata shamba wanasubiri ICC ije kumkamata Samia 🤣🤣🤣Nasisitiza tena, kama kuNa watu wanaamini ICC itamuwajibisha hangaya na serikali yake. I've got an ocean to sell them.
Mbona unawapangia pa kuanzia na kuacha kuwaalika bongo? Mbwa mkali hubweka mkia ukiwa juu. Wewe unabweka huku umeukalia mkia na unajiona mkali. Eti waende Rwanda as if Tanzania mambo yake ni masafi!ICC siyo ya nyumbani kwenu au ya Maria Sarungi. ICC sio wajinga wa kiasi hicho. Tutawapa Katiba yetu na sheria zetu na tutawaonyesha vurugu zote zilizofanyika kuanzia kuchoma vituo vya kupigia kura, vituo vya polisi, TRA, Bank, Mahakama, shule, hospitali, sheli, biashara za watu halafu waseme kama nguvu iliyotumika ni kubwa mno, ni sawa au ni ndogo mmo. Waje tu mashahidi wapo wengi sana. ICC waanzie huko Israel, Ukraine, Rwanda, Somalia, nk kwanza
Posho unakula wewe ndg'angu kutoka kwa kina kitima. Mi sijui hata posho inafananaje. Nipo zangu Liwale Huku naendelea kupalilia mbaazi zangu labda mambo yakawa mambo mwezi wa 8. Kama hayo ndo mawazo Yako, kwamba Kila anayemtetea Samia anakula posho, basi pole sana......hiyo familia Yako (kama unayo) itakuwa imepigwa na kitu kizito sana. Umetaja akili; kama kuongea hivyo unavyoongea wewe ndo tafairi ya kuwa na akili, basi hili taifa apewe tu museven🤣🤣🤣🤣
Sacrificial stoneWaliorusha risasi si walitekeleza amri iliyotolewa na Samia mwenyewe tena hadharani na mchana kweupe? Anapata wapi tena ujasiri wa kuwawajibisha waliotekeleza amri mbaya ya amri jeshi mkuu? 🤔
Huna akili. Haya, hebu tuusubirie huo muda wenu utakaoongea........utaongea upande upi, hilo hatujui.We jenga afya kijana kwa nguvu yako wanaume washakufanyia kazi, ukiona cag wenu ameandika nini utajua mwaka wa kheri kwa chawa wote yani, mamaduro na mshika mikoba wake wana fungu la kutosha tena kampeleka na mjengoni kbs ila kule mbele hamna namna atapenya! Muda utaongea
Huna akili. Haya, hebu tuusubirie huo muda wenu utakaoongea........utaongea upande upi, hilo hatujui.
Wanajifurajhisha kwa kujifariji kwamba wanaweza kupiga rangi mbingu.Wishful thinking inawadanganya wamebaki wanangoja mkono udondoke.Tabia za kifisi.Kitu kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha,
Huko Israel hatua gani za ndani zilichukuliwa kuhusu genocide aliyoifanya Natanyahu Gaza mpaka ICC ndio wakatoa Arrest warrant?
Ninakubaliana nawe; ila kinachoshangaza ni hao ICC hata kule ku-'acknowledge' tu kwamba taarifa za matatizo yaliyotokea Tanzania zimewafikia hakuna!Naheshimu mchango wako mkuu ila Kenya hawakufanya efforts zozote za ndani ilikuwa ni lazima ICC ifanye yake najua hapa kwetu wanafanya tricks tu kutumia ujanja ujanja kama kawaida yao! Wanatumia loopholes kudelay, that my thinking tu sio lazima iwe kweli
We uliisikia?!!Waliorusha risasi si walitekeleza amri iliyotolewa na Samia mwenyewe tena hadharani na mchana kweupe? Anapata wapi tena ujasiri wa kuwawajibisha waliotekeleza amri mbaya ya amri jeshi mkuu? 🤔
Kwanini waje tarehe 10/April? Waje hata kesho tuMbona unawapangia pa kuanzia na kuacha kuwaalika bongo? Mbwa mkali hubweka mkia ukiwa juu. Wewe unabweka huku umeukalia mkia na unajiona mkali. Eti waende Rwanda as if Tanzania mambo yake ni masafi!
Wanakuja tarehe 10 April, upo tayari kuwazuia?
Sasa umeanza kunielewa!! Nashukuru unatumia akili yako positivelyNinakubaliana nawe; ila kinachoshangaza ni hao ICC hata kule ku-'acknowledge' tu kwamba taarifa za matatizo yaliyotokea Tanzania zimewafikia hakuna!