ICC imeishia wapi?

Kitu kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kujiaibisha,

Huko Israel hatua gani za ndani zilichukuliwa kuhusu genocide aliyoifanya Natanyahu Gaza mpaka ICC ndio wakatoa Arrest warrant?

Umeelewa concept? Au unakurupuka tu kijana, unachoongea ni nini na mimi nimeandika nini? Unataka desa? Wabongo kukariri ndo maisha yetu
 
ICC ipo kwa ajili ya kuwanyoosha viongozi weusi
Kwahiyo unakubali kua Dunia haina usawa sio?

Yani unawashabikia hao hao ICC unaosema wapo kwa ajili ya kuwanyoosha viongozi weusi!

Aliyekua rais wa Philippine Rodrigo Duterte ni mweusi? Slobodan Milosevic alikua mweusi?
 
Umeelewa concept? Au unakurupuka tu kijana, unachoongea ni nini na mimi nimeandika nini? Unataka desa? Wabongo kukariri ndo maisha yetu
Acha kuhamisha magoli,najua umesha ona kosa lako tayari,
Acha kutafuta pakutokea,Jibu swali nililokuuliza.
 
Reactions: Tui
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Hivi nyie watu wengine ni mafala ee?!! Au chuki kwa Samia na mapenzi kwa lissu yanawafanya muwe vipofu?!!! Hivi maangamizi Yale ya vituo vya polisi na polisi wenyewe, Mali za watu, taasisi za serikali, kujeruhi/kuua watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani, kuharibu Mali za watu wasiokuwa wafuasi wa chama flani yangezuiwa vp?!! Wasn't that an act of war?!!!! Baada ya masaa saba, nani angethubutu kumkamata yeyote maana nchi ingekuwa yote inawaka moto.

Au, type mbinu mkuu za kukabiliana na Hali kama ile yenye kuleta matokeo unayoyasema.
 
Umemfahamisha vizuri sana na umempa mifano mizuri sana ila sidhani kama atakuelewa coz anaonekana amesha jikoki kubishana zaidi badala ya kujadili hoja.
 
ICC haideal na matofali, vituo vya daladala wala majengo ya sisiemu, inadeal na wauaji wa raia na wahalifu wa kivita, hiyo ya mali za watu mtadeal nayo nyie haiwahusu
 
Sasa hela za mikopo si zinamuhusu mamaduro na mafisadi wenzie? Sisi kenge tuziongelee za nini? Tunaongelea damu za vijana wasio na hatia zilizomwagwa vyumbani mwao baaaaasi!

Tunasubiri cag wenu miaka ijayo atakuja kusema hata hizo mlikula na nani, mbeba mikoba wa mama kaingizwa mjengoni probably kwa sababu huu mzigo unakuja, atakua keshaweka order za Lambo zamu hii naona
 
Dunia nzima? Ipi? Acheni kujipa umaarufu msiokuwa nao. Labda ongekeeni UCC ya Kantalamba huko

Dunia maana yake global elites sio na kenge wa huko lingusenguse kijana muwe mnaelewa concepts japo sina madesa ya kuwagawia najua wabongo ni lowest IQ ila sikujua ni kwa kiwango gani naendelea kujifunza
 
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Kumbe unamuongelea mtu ambaye simfahamu Mamaduro, sawa
 
Hata muwape na katiba ya chumbani kwenu hamna justification ya kuua raia, hata kama wamefanya uhalifu gani, mna mahakama za nini sasa? Mamaduro atakwenda tu endeleeni kuimba mapambio chawa. Haki ya kutoa roho ni ya Mungu tu sio yeyote
Sasa wanasubiri nini? Yaani ule utumbo wa Maria Sarungi na Mange Kimambi walioukusanya na kumpa Larry Madowo ndiyo ushahidi wenu?? My foot
 
Reactions: Tui
Dunia maana yake global elites sio na kenge wa huko lingusenguse kijana muwe mnaelewa concepts japo sina madesa ya kuwagawia najua wabongo ni lowest IQ ila sikujua ni kwa kiwango gani naendelea kujifunza
Kwani unadhani mimi ni mgeni na Rome Statute?? Au unadhani ni wewe tu unaisoma? Hilo desa kampe mvuta bangi Heche
 
Your guesswork is most likely to be true
 
Sijui hata unajua unachoongea.
 
Reactions: Tui
Kwani unadhani mimi ni mgeni na Rome Statute?? Au unadhani ni wewe tu unaisoma? Hilo desa kampe mvuta bangi Heche
Mtaelewa tu endeleeni kula fweza za mamaduro mwisho wa siku kitaeleweka tu hamna haraka
 
Waliorusha risasi si walitekeleza amri iliyotolewa na Samia mwenyewe tena hadharani na mchana kweupe? Anapata wapi tena ujasiri wa kuwawajibisha waliotekeleza amri mbaya ya amri jeshi mkuu? ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ