IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

Angekuwa mtu mzima watawala wasinge wafanyia mambo kama haya raia halafu wakaendelea kutawala bila sekeseke.
 
Ona aibu basi,wwnzaki wamekutosa!
 

We Si ulisema JF ni 1% na wazungu hawana muda wa kusikiliza wana mambo muhimu.

IB Times, CNN, New York Times ni ya Waafrica?

Kichwa chako kimejaa maji ya nazi.
 
police asanteni kwa kutupa kick Jf sasa dunia nzima watafuatilia huu mtandao kuona nini kinafanyika

asanteni kubwa sana!!!
 
@moderator,@jamiiforum weka heading itakayobeba vyanzo vyote vya habari vya kimataifa,sio kimoja
 
Hahahaha . ..well said . ..uchu wa madaraka . ...HAPA KAZI TU . ..MZUNGU KWISHNEY
 
Mods ondoa huyu kichaa humu,hawa ndio wanaoichongea jf kwa mabwana zao.ondoa huyu mnafiki humu wakaanzishe ya kwao huko.
Cc mods
 

Zaidi 40% bajeti ya taifa lako inategemea hao Wazungu, asilimia kubwa ya projects zinazoendelea katika taifa lako ni za hao wazungu, mpaka neti za kujikinga mbu ni za hao wazungu, ARV unapewa msaada na hao Wazungu. Taifa lina zaidi ya miaka 55 ya uhuru kila kitu linapewa na hao wazungu.. Ni vizuri hao wazungu wakaambiwa huruma yao ya kusaidia watu hawa masikini kupitia misaada wanayotoa haifiki kwa walengwa baadala yake inakandamiza wanyonge tu..

Serikali ikitenda vizuri kazi zake na watu wakaona basi hata idadi ya wakosoaji itapungua, lakini serikali ikitenda sivyo kila uchwao basi hata wakosoaji watakuwa wengi sana na mwishowe itajikuta inapoteza uelekeo kwa kudeal na hawa wakosoaji.. 55years brother, bado tuna mark time tu halafu watu wasiongee!!!
 
What it is is your problem African woman?!!!
 
Hii kesi inasaidia sana JF ikue, wanampaisha jamaa sasa hivi kila pande za dunia kama moja ya freedom fighters.
 
JF inapasua anga mpaka mashariki ya mbali na hawajui kwamba wapo wanajiexpose kwa haya matendo ya ukiukwaji wa haki na sheria za Nchi.
 
Pumbavu sasa hapo umeona umeongea point by the way unafanya nini jf si uende Facebook au instagram ukapost utumbo wako? Yaani hii nchi imejaa vi.laza tu.
 
Bila jamii forums huu ujinga wako ungeoza nao mwilini mwako. Ishukuru jamii forums kwa kukupa nafasi ya kutoa ujinga wako hadharani.
 
Bwana yule anataka asifiwe tuuu na kuombewa mema, bwana yule hataki kukosolewa wala kuambiwa ukweli.
Bwana yule anajiona Mungu mtu kwakuwa hakosei ila anafanya yaliyosahihi hivyo msifie tu na msikosoe.
Bwana yule ni mnyapala ambae ataka neno lake ndilo liwe la mwisho hata kama tunatumbukia shimoni.

Bwana yule anataka kuogopwa na hajiamini, sasa katika social media ndiko mahali watu wanaweza kutoa maoni yao kwa uhuru na kumueleza ukweli asioutaka,ndio maana anahaha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…