IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

Nimesema hivi ikija issue ya Max,wakati watu wanapiga kelele aachiwe huru halafu watu kama nyie mnakuja na kejeli hatutawavumilia.Tunahitaji Uhuru wa kujieleza.
Hakuna anayetaka Max aendelee kushikiliwa huko au asiyetaka Uhuru wa kujieleza.
Kuhusu kejeli mbona watu wanafanya kejeli kwa rais na wengine wanatukana kabisa ila nyie hayo yote mnayaweka kwenye kundi moja la Uhuru wa kujieleza,sasa iweje hapa wanaotoa maoni yao yenye kutofautiana na wengine mnaita kejeli na kutaka wapigwe ban?

Kama wenyewe tu humu hatuwezi kuvumiliana kwa kutofautiana mawazo,huoni kuwa ni unafki kulalamikia serikali kuwa inaminya Uhuru wa kujieleza?
 

Hakuna anayepeleka kejeli,tunahitaji wote tunaotumia JF tuwe wamoja siyo kumkejeli muanzilishi wa JF halafu tunaenjoy humu haikubaliki.

Hakuna anyemkebehi Rais,yeye ndiyo hataki kukosolewa na kuambiwa ukweli
 
....giving them pea-sized brains is a bit much...them are a bunch of no brains....
 

they did not win the last election that is why they are insecure and apprehensive of the next election
 
Mi hapa cjakuelewa wazungumze kuna deal gan kat ya gov na jf?
 
Mzungu hajawahi kutatua tatizo la Mwafrika hata siku moja bila kuanzisha lingine kubwa zaidi, hivyo kwangu mimi hii ni ishu ndogo na inazungumzika baina ya sisi wenyewe!

Neither Africans have been able to resolve their own problems. Kwangu hii issue ni mwanzo tuu wa issues kubwa regardless of how small you see it.

Miili saba imekutwa mtoni tunaichukulia kirahisi, Mtanzania tena na JF member hajulikani alipo karibia mwezi sasa tunaichukulia ni ishu ndogo.

Now JF director kuzuiliwa na polisi bado unaiona ni ishu ndogo. Hawa watu wana familia zao na watoto.

Siku yatakapokukuta wewe (not necessarily kama yaliyowakuta hawa) ndo utajua kama ni ishu ndogo au kubwa.

Just mwaka jana kuna watu walikuwa wanaandika kama wewe hapa, now wanaisoma namba. Because maisha hayajanyooka kama rula.
 
BBC News: Tanzanian police charge Jamii Forums founder



The co-founder of a Tanzanian whistle-blowing website has been charged with obstructing an investigation after not handing over the details of people who post on the site to the police.

Maxence Melo, a director of Jamii Forums message boards, was charged under a controversial cybercrimes law.

The government said the law would stop the spread of lies, sedition and pornographic material online.

But critics say the law limits freedom of expression.

One US aid agency ,The Millennium Challenge Corporation (MCC), cancelled nearly $500m (£405m) of funding in March partly on concerns over the enforcement of the law.

Tweeters have been using the hashtag [HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG] in protest at Mr Melo's arrest.

Image copyrightTWITTER
On Wednesday Tanzanian police took Mr Melo to his office and home to search for the users' details they wanted.

Mr Melo's lawyer told the BBC the search was against his consent and the police did not have a search warrant.

The Jamii Forums other co-founder, Mike Mushi, told the BBC the police didn't take anything but made copies of several documents.

Mr Melo appeared at Kisutu court in Dar es Salaam on Friday, charged with obstructing an investigation and with failing to register the site with a co.tz domain name.

The cybercrime law made it a legal requirement for all websites in Tanzania to have a co.tz domain name.

The BBC's Sammy Awami reports that Mr Melo's bail hearing has been postponed until Monday. After he was charged, he was sent to Keko Prison in the country's economic capital, Dar es Salaam.

Technology journalist Tefo Mohapi says JamiiForums has played a huge part in exposing corruption in Tanzania.

He says information posted on the site about corrupt deals has led to the resignation of a prime minister, the dissolution of a cabinet and several ministers losing their jobs.

Source: Tanzanian police charge Jamii Forums founder - BBC News
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…