Ibra Chenza akituringishia Passport yake ilivyochafuka

Ibra Chenza akituringishia Passport yake ilivyochafuka

Mwamba mfanyabiashara maarufu Tanzania wa mtandanaoni Ibrahim Chenza the king of Oviedo kajiposti kwenye ukurasa wake wa Facebook akituringishia mihuri na visa kadhaa kwenye passport yake.

Video hiyo inamuonesha kakaa kwenye waiting lounge uwanja wa ndege huku akifungua kila kurasa za passport kwa madaha.

Dogo adriz ana passport lakini hajawahi kusafiri hata nje ya Dar.

Hongera zake.

View attachment 3597073

adriz de mbusii
Hajui kuna watu wanaona kusafiri ni usumbufu tu?
 
Mwamba mfanyabiashara maarufu Tanzania wa mtandanaoni Ibrahim Chenza the king of Oviedo kajiposti kwenye ukurasa wake wa Facebook akituringishia mihuri na visa kadhaa kwenye passport yake.

Video hiyo inamuonesha kakaa kwenye waiting lounge uwanja wa ndege huku akifungua kila kurasa za passport kwa madaha.

Dogo adriz ana passport lakini hajawahi kusafiri hata nje ya Dar.

Hongera zake.

View attachment 3597073

adriz de mbusii
Sawa mkuu one day In Shaa Allaah , passport yangu 8tapigwa muhuri naamini siwezi kukaa miaka 10 bila muhuri In Shaa Allaah.

Na siku ikipigwa muhuri kimbia Jf mbusi wewe , nitaanzisha nyuzi karibia 10 mfululizo kukutukana
 
Hapo yuko kwenye mawindo ya wenye tamaa wanaotaka mafanikio ya ghafla awaunge kwenye ushenzi wa network marketing kupitia BF Suma. Mimi naona yuko smart kulingana na kazi yake. Ni kitu sahihi sana anafanya.
 
Back
Top Bottom