IBM flat screen.

tizo1

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
856
145
Jaman wataalamu kuna mtu kaniuzia monitor ya IBM Flat Screen.Haina CABLE HATA MOJA.Nauliza JE inatumia cable za aina moja na monitor za aina nyingine au cable zake ni tofauti?vp IBM MONITOR zinadumu?
Nawasilisha ndugu wataalam.
 
Ukiona kimya ujue maswali yako hayana mashiko!
Ni kebo zipi unazoulizia? Za power, za vga ama? Wewe ukichungulia kwenye hiyo monitor unaona hayo "matundu" yanatofautiana na monitor uliyokuwa unatumia zamani? Wakati mnauziana hamjafanya "testing"?
Chukulia kama unanunua simu ya mkononi ni vitu gani ungependa kuconfirm kwanza kabla ya kulipa?
 
Back
Top Bottom