Ibangi - Malangali

lyoni

Member
Feb 23, 2016
34
16
Jamani wiki ijayo nitakuwa katika kijiji cha Ibangi- Malangali, kwa kazi maalum.
Naombeni wenyeji wanipe ufahamu zaidi. Najua ni uheheni, koo gani hasa ni maarufu huko. Wenyeji wakoje? Wacheshi? Mambo msosi, burudani na vinywaji Navyo vimekaaje? Msaada
 
Asanteni, vipi kuhusu ushirikina wakoje hasa, maana kama no kijijini shaka imani hiyo itakuwa ni kubwa sana. Koo gani ni maarufu halo Ibangi?
 
Tembelea eneo linaitwa isimikinyi, idunda, ihowanza na itengule. Ni watu wakarimu sana. Ukimwi upo popote wala usiogope ndugu yangu. Ukitaka koo kubwa pale ni bangu, chaula, chalamila au uliza kwa mama kisinini. Ukishindwa nichek kwa email daudifrancis @ajuco.ac.tz
 
Ahhh we jamaa hufai kabisa unamwambia mwenzako watu ni wakrimu kwasababu wanatoa sana?
Malangali mbona kuna Ukimwi sana tu; tena mimi huyu chalii simshauri azoeane sana na wale wamama wa kijijini.
 
lyoni post: 15413614 said:
Jamani wiki ijayo nitakuwa katika kijiji cha Ibangi- Malangali, kwa kazi maalum.
Naombeni wenyeji wanipe ufahamu zaidi. Najua ni uheheni, koo gani hasa ni maarufu huko. Wenyeji wakoje? Wacheshi? Mambo msosi, burudani na vinywaji Navyo vimekaaje? Msaada
malangali Mufindi???
 
Back
Top Bottom