Ibada ya kumuombea Mh. Tundu lissu.

Ibada ya kumuombea Mh. Tundu lissu.

Ni vyema na haki kumshukuru Mungu aliyemwokoa Lissu. Bila shaka hakuna mcha Mungu yeyote atakayesimama kinyume na ibada hii!
 
Walimchinja Mawazo mchana kweupe na kesi haieleweki!!. Shida ya nchi hii ni kutaka kuwafanya waTz wote kuwa wafuasi wa watawala kitu ambacho si kweli !!

Swala la TAL linakera sana lilivyoshughulikiwa kwa visingizio za kitoto. Kama T shirt tu watu walikamatwa sidhani kama hili litafanikiwa
Hapa mkuu hamna jipya tushukur Mungu jamaa yupo hai ila lengo lao ni kumtoa duniani.
 
St. Peters’ Parish, nadhani hili litakua kanisa analosali Mh. Lissu akiwa jijini Dar. Kama sivyo najikuta na mawazo mengi ya kwanini ibada hii ifanyike huko, sio K/Ndege Dodoma ambapo wabunge wenzake wamesali dominika ya leo, St. Joseph Dar au kanisa jingine lolote ikafanyika hapo? Anyway tuifanye pia baada ya wiki ijayo ili na sisi tuliopo safari tuwe tumerejea Oysterbay
 
Back
Top Bottom