nafikiri kuna ligi unaitafuta. Umeshinda.As a great thinker ulitakiwa uelewe hapa si madhara ya kuattack na kudhuru kama simba yaliyohusishwa.
Ni vyema Viongozi wote wa Kitaifa tukianzia na Mhe Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Waziri wa Elimu na Uongozi wote wa Mkoa wa Arusha na Mikoa Jirani wakashiriki Misa/Ibada ya kuwaaga wapendwa wetu wanafunzi walifariki katika ajali huko Karatu.
Mbona alituma salaam mapema tu jana baada ya tukio akiwapa pole wafiwa wote na wakazi wa mkoa wa Arusha kupitia kwa Rc.Itakuw Aibu sana RAIS UHURU KENYATA kutukumbuka ktk maomb afu huy wetu Akapig kimya bila kuzungumza chochote
Hivi hali ya Kenyata kwa sasa ni sawa na ya Magufuli? Influence ya Tanzania kisiasa ni sawa na ya Kenya kwetu? Hivi ktk kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu 2015 Wagombea wa uraisi Tz walihtajika kufungwa japo vidole na wakenya?Itakuw Aibu sana RAIS UHURU KENYATA kutukumbuka ktk maomb afu huy wetu Akapig kimya bila kuzungumza chochote
nafikiri kuna ligi unaitafuta. Umeshinda.
Oke oke km ni hvy bas sawa.Mbona alituma salaam mapema tu jana baada ya tukio akiwapa pole wafiwa wote na wakazi wa mkoa wa Arusha kupitia kwa Rc.
Somo lipi tena?Sifa na utukufu kwa Mungu wetu maana kwa neema na rehema zake somo limeeleweka.
ahahaha mkuu aliyepungukiwa huonea sana watuKwani Mwakasege alisema tumuombee nini?