Ibada maalum imefanyika leo eneo la ajali Karatu

Ibada maalum imefanyika leo eneo la ajali Karatu

Nafikiri anamaanisha leo ilikuwa ni ibada ya dini zote tambiko lilishafanyika siku ya jumatatu wazee wa mila walikuwepo eneo la ajali na kondoo.
Mkuu waache wanajifanya hawana akili...nimeandika wazi kabisa
 
Watu mmepewa ripoti kinachojili alafu mnahoji nani atajibu maswali yenu? Nendeni mkamuulize mkuu Wa wilaya analojibu ndio alikuwa kiongizi Wa itifaki hiyo
 
Ibada hiyo imeongozwa na mkuu wa wilaya ya Karatu ikihusisha viongozi wa dini zote na wananchi.

Dua na maombi yamefanyika eneo la ajali ambapo binafsi nimehudhuria. Ibada hiyo imetanguliwa na tambiko la kimila lililofanywa na wazee wa kimila juzi siku ya Jumanne.

Tuendelee kuwaombea wanafunzi wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha katika ajali hiyo.


Ili iweje sasa?!
 
Tangu lini serikali imetambua mambo ya matambiko na imani, ilhali katiba inasema serikali haina dini na haitambui ushirikina!
Mkuu wa Wilaya ameshiriki kama serikali au kwa imani yake!
*Muulize Msukuma ndo mwenye orodha ya watunga sheria waliohudhuria kwa sangoma wakati wa uchaguzi.*
 
Watu wa karatu ajali ikitokea eneo fulani lazima wafanye hayo mambo. Kwa hili la wanafunzi sijui alie jitolea mnyama wa tambiko ni nani....maana mara nyingi huwa ni muhusika wa ajali mwenye kosa au ndugu zake.
 
Back
Top Bottom