Ianzishwe thread maalumu ya matokeo ya uchaguzi mdogo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,850
Wakati tukianza kusubiri matokeo baada ya upigaji kura kukamilika ambao kwa kawaida vituo hufungwa saa 10 jioni na kwakuwa muda huo umeshapita,nashauri mods waanzishe uzi maalumu wa matokeo kadri yatakavyokuwa yanapatikana /yanawafikia.

Kupitia uzi huo(kama utaanzishwa) member / mods wanaweza kuweka matokeo ya vituo mbalimbali kwenye kata mbalimbali kabla ya matokeo ya vituo vyote katika kata moja hayajapatikana.
 
Nasikia sisiemu wanaongoza kata 15 mpaka sasa
 
Wakati tukianza kusubiri matokeo baada ya upigaji kura kukamilika ambao kwa kawaida vituo hufungwa saa 10 jioni na kwakuwa muda huo umeshapita,nashauri mods waanzishe uzi maalumu wa matokeo kadri yatakavyokuwa yanapatikana /yanawafikia.

Kupitia uzi huo(kama utaanzishwa) member / mods wanaweza kuweka matokeo ya vituo mbalimbali kwenye kata mbalimbali kabla ya matokeo ya vituo vyote katika kata moja hayajapatikana.
utakuwa tayari kukaa hadi mwisho kujionea matokeo?
 
Hata usihangaike mkuu! Nasikia masanduku ya kura tayari yalishajazwa kura zikizopigwa ikatokea fujo mawakala wa CUF wakaswekwa kupango na wale wa Ccm wakaendelea kufanya waliozoea kufanya chini ya jechi!
 
Kuna barua ya malalamiko teyari nimeshaiona ila tume yenyewe sidhani kama inaweza tenda haki.
 
Wakati tukianza kusubiri matokeo baada ya upigaji kura kukamilika ambao kwa kawaida vituo hufungwa saa 10 jioni na kwakuwa muda huo umeshapita,nashauri mods waanzishe uzi maalumu wa matokeo kadri yatakavyokuwa yanapatikana /yanawafikia.

Kupitia uzi huo(kama utaanzishwa) member / mods wanaweza kuweka matokeo ya vituo mbalimbali kwenye kata mbalimbali kabla ya matokeo ya vituo vyote katika kata moja hayajapatikana.

Mbowe ndiye anayegandamiza demokrasia na upinzani?

Wwe unataka wapinzani washinde ili upate nini?

Angelikuwa siyo Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA, demokrasia ingeruhusiwa?

You must be schizophrenic!
 
Mbowe ndiye anayegandamiza demokrasia na upinzani?

Wwe unataka wapinzani washinde ili upate nini?

Angelikuwa siyo Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA, demokrasia ingeruhusiwa?

Kama si mbowe kuwa mwenyekiti ungepeleka kura yako katika wagombea wa upinzani?

You are not only low mtu wewe, you must be schizophrenic!
 
Back
Top Bottom