Ianzishwe hoja ya kutokuwa na imani na Mwanasheria mkuu rais amfukuze kazi

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
Ni wazi kua fedha za wananchi zimetumika vibaya kwa makosa yaliyosababishwa na wanasheria wa wizara ya fedha na mipango na mwanasheria mkuu wa serikali .

Huyu mwanasheria alikuwa na fursa ya kuishauri serikali kabla haijafikisha mpango wake bungeni.

Hivyo ni busara akae pembeni ili kuliepusha taifa na fedheha kubwa namna hii.
 
Una uhakika hakutoa ushauri? kama alishauri, lakini ushauri wake haukufanyiwa kazi?
 
Una uhakika hakutoa ushauri? kama alishauri, lakini ushauri wake haukufanyiwa kazi?
Kuna maana gani sasa ya kuendelea kuwa kwenye nafasi ambayo ushauri wako hauzingatiwi?! Mtu mstaarabu na mwenye kujali uweledi wake uachia ngazi kama uwepo wako kwenye nafasi ya utumishi/uongozi haiwi appreciated.
 
Back
Top Bottom