Vp wenye afya njema wanapokelewa
Duh mkuu una roho ngumu sana.
nina rafiki yangu kipenzi ameathirika. ana afya nzuri na hatumii dawa. anamtafuta mwanaume mwenye status kama yake. awe na umri wa kuanzia 30 kwenda juu ili ukiwezekana waishi pamoja. tafadhali tuwe wastaarabu. mwenye matusi apite pemben