cindy mopao
Member
- Sep 5, 2015
- 54
- 24
- Thread starter
-
- #101
Hujanielewa, sina maana kama wewe age imekwenda nop, ila katika mikusanyiko mbalimbali company za church zina faida kubwa kwanza unakuwa unaingia kwenye urafiki na mcha Mungu ingawa kanisani huwa tunakwenda kuabudu.
Tatizo la mitandaoni watu wengi wanaojiheshimu na wako serious wanakuwa wako commited na watu wao, wengi wanaokutokea humu ni balehe tu zinawasumbuwa ndio maana wadada wengi wanakatishwa tamaa na online friendship.
Lakini hata kitaa si unaweza kuwa na urafiki wa kawaida na mwanaume then baadaye mnachage status? basi hata humu mwendo ni huohuo mdogo mdogo tu pumba na mchele unazitambuwa.
Kwahiyo pesa tutowe sisi mapenzi upewe wewe? hii mpya hivi mpenzi wako unategemea apewe support na nani?Im here to fully provide you with lots of love and cares.You have all my time kama kweli uko na nia tuanze na p.m.Mind you, its strictly mapenzi maswala ya hela ondoa kabisa kichwani cindy mopao
Hi jf members,
Am tired of being lonely,iam a matured girl aged 20-24,super model,black(chocolate)..nahitaji rafiki wa kiume wa kuwa nae kama mtu wangu wa karibu na kadri uhusiano utakavozidi kukua kama akipenda we will tie da knot.
I am wife material with all qualities of being someone's wife, i have self-respect kuanzia uvaaji wangu hadi tabia yangu na wala sina makuu!
You must be christian,tall,any colour bt wale wenye ushombe siwataki! Age 25-30!
Nb:make sure unajiheshimu na unaheshimu wengine.sitaki uhuni!uwe na elimu yoyote na akili ya maisha .mi elimu yangu chuo!

Sifa zote zipo ,isipokuwa hapo kwenye userious ndiyo nimekwama.... Sorry!
Kwahiyo ukolewa na mfupi ndoa itakuwaje?
Au itagoma?
First, be serious yourself if you want a serious boyfriend! A serious person can't find a companion like this in the social network. and you don't even know your age (20-24 What's this!?)!!! No wonder you are still single! But thanks for the offer but i'll pass. Good luck on finding a boyfriend!