Iam looking for a serious boyfriend!

Mkuu akipata au kuolewa na mtu mfupi na ndoa au mahusiano yatakua mafupi
 
cindy

kwanini hutaki wafupi?

wasiwasi wake tu;
wengine mwili mfupi lakini chini mashallah mwenyezi mungu kawajaalia urefu.
Pia kuna imani kwamba watu wafupi ni stubborn/wakorofi
 
First, be serious yourself if you want a serious boyfriend! A serious person can't find a companion like this in the social network. and you don't even know your age (20-24 What's this!?)!!! No wonder you are still single! But thanks for the offer but i'll pass. Good luck on finding a boyfriend!
 
sifa zote ninazo including vijisent..ila mimi shombe:A S shade:
 


Tehe tehe tehe
A match made in JF
 
Hakuna wife material aliyekosa mume kwa age yako mpaka aje kusaka huku. You might be in very serious psychological problem
 
Karibu JF-joined 04/09/2015 :A S-omg:n looking for BF?
 
Walai ni pm! hutojuta maisha yako yote!! cha kwanza nitakuendeleza na chuo cha elimu ya juu nitakutafutia nafasi ya chuo Massachusetty Institute of Technology! Kila weekend tunaenda kula bata Dubai, canada, USA
 

Naona sifa zote ninazo ukianzia na urefu 170cm, elimu ipo , dini ok ila nina kamchepuko kangu anamtoto. Embu ni nichek hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…